#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW NA FEROOZ NA Z ANTO (JUNE 20, 2019)

preview_player
Показать описание
#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW NA FEROOZ NA Z ANTO (JUNE 20, 2019)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Z-Anto ndo kagoma kuzeeka yani!!!! Ila

khadijajuma
Автор

Yule dada genius fulani hivi anaependa kuamsha amsha one night-stands, KARIPSTO pia tunamiss sana. Dj. Jacoo uko juu

atomphoton
Автор

Z-Anto my all time crush thanks block89 for hosting him 💯%.
WCB4LIFE 💪💪👌

suewanji
Автор

YES FEROOZ RESPECT SASA MZEE COME WITH NEW DIFFERENT STYLES HATA KAMMA NI RHUMBA STYLE UTAWASHIKA
SALUTE

kibaopipa
Автор

Bluos fm hawaamini wanachokiona Wasafi mbelekwambele mzee baba chapa twende wauni siyo watu wazuri kabisa walididimiza vipaji vya wasanii wengi wa kitambo sisi ndo tunaujuwa muziki wao kizaz cha Facebook Twitter and Instagram hawawez kunielewa kabisa ninachokizungumuza gonga

dennischeyo
Автор

Z Anto ni msanii ambaye anaweza kujivunia mafanikio ya diamond maana aliacha alama kubwa sana

yusuphmlangali
Автор

Penda wasafi inavyo weka ummoja, amani baina ya watu wote ..love u guys interview ilibidi nirudi kuangalia tena

mayamohamad
Автор

Mimi ni mpangaji wako mama nyooo ninaekulipa kodi yako mapema nyooo naitaji yako heshima konk master gonga

dennischeyo
Автор

Da Voda mnafanya nadata na Wasafi Asanteni sana

msasaniboyrais
Автор

Ongera wcb ambagui wa sasa au zaman yoyote mjengon yeyote anaingia ubaguz ukooo clouds

chandemalletha
Автор

Mtu imara sasa this guy is comedian🤣🤣😂😂appreciate you

jumannemfaume
Автор

wasafi wapen nafasi ferooz na Z anton kurecod ngoma moja moja wasafi hlo ndo ombi langu wenetu.

bokabakary
Автор

Jonijooo uyo dada mzungu ameolewa au fanya mpango bro
Mr maravidavi nakuelewa sana bro
Ferooze Kizazi sana bro

shubackmashinga
Автор

Jamani jinijooo upo km Mimi natamani aendelee kubaki studio anavutia cn

neemalkiswaga
Автор

Bado nikiskia ngoma za hawa wasee wawili huwa nafeel fiti.

mcwilliesyoks
Автор

Nipen like za ferooz hapa jaman, na ngoma ya kamandaa

hekimaisaya
Автор

Z anto he so smart kama mmemusanukia anaakili sanaa watu awa ndio ukiwasikiliza unapata maarifa.

katolankingbinnah
Автор

Z-anto ni mtu ambaye hapindishi maneno daa kiukweli yuko km Mimi nukipanga Jambo hupenda nilitimize

neemalkiswaga
Автор

Big up sana wcb tume penda mlicho kifanya kuwa kutanisha wasanii wawili alafu wakongwe

sadyroger
Автор

Hili ni fundisho kwa vijanaa unapopata nafasi yakushika hela nyingi wekeza sana majumba, shamba na biashara nyengine jiepushe na outrage ya washkaji mana unaporudi chini ka ferooz wote wakimbiana mpaka sasa ferooz yupo kundi la makmuga

shaloboy