#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW NA MPOKI (JULY 11, 2019)

preview_player
Показать описание
#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW NA MPOKI (JULY 11, 2019)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Eh duh leo ndio nafaham mpoki ni muislam mashallah Allah akbar

seifmohamedseif
Автор

Diamond
Naomba Usome hii..
Ukitaka Ufanikiwe Na muweze kukua zaidi hapa Tanzania na Africa..
Tafadhali Wachukueni Hawa Jamaa Orijino Komedi, Hakika mutapendwa Mara Milioni zaidi...
Wanajua sanaaaa..
Tanzania nzima wanapenda kucheka, Stress nyingi

hamoudcreator
Автор

aisee mpoki nmeamini ww ni Godfather wa comedy! Escobar wa comedians! naombeni likes jamani nisafishe nyota 😂😂😂

andrewmmbaga
Автор

Mpoki nimemkubali namna anavyojieleza, anajielewa sana
hongera broo.

mohamedmakanyira
Автор

Ma sha Allah in sha Allah kheri Allah akujalie wepesi ufanikishe kujenga msikitini na mengine mengi mema duuh nilikua sijuwi kama Muslim hongera bro 🥰

Jojo-princess-xz
Автор

Ww dada vp aongee luha gani wakat yy upo bongo nyinyi wabongo mnapenda kujizalilisha kwawaengereza

mohamedali
Автор

Sio mfuatiliaji sana wa hii show, ila nimeicheki leo just for mpoki👏👏

gilbertcfc
Автор

mpoki umetisha sana, interview yangu ya pili kwa mwaka huu ikitoka ya dogo janja kuikubali.

misanyamisanya
Автор

Mpoki nice interview congratulation and you make me happy😹😂😁👏👍

Noah-seni
Автор

Allah akusimamie mpoki katika nia yako ya kujenga masjid ni jambo la msingi

babaanisha
Автор

🇺🇲/🇹🇿 Ricardo Momo Umemsahu!!
Goal keeper Boraa "trends " In Tanzania pia Ezii izo ni Ali Bushiriiii. SaidiTall" wa (Miembeni team) ZNZ. By the way First time watching its Interesting lovely show! I enjoy Ricardo sports talking + Mpoke My favor person Tz Comedian. Great guests 👏 💯👌🙏

zainabtumba
Автор

Hongera brother kwa kutoyaweka wazi maisha yako

johnkisomo
Автор

Wasafi thanx DJ pamoja gonga like twende na DJ

yuusufnuur
Автор

Nawakubali wana hapo mjengoni tupo pamoja

ashimuyasini
Автор

Mpoki kwangu wew utabak kuwa nmb moja daily

dicklanmoshi
Автор

dah uyo DJ ni th best ever, jamaa ypo active sn, kaz yake anaielewa vzur kbs

Fundikichwa
Автор

Morogoro ni sehemu ya vipaji amini kwamba

dorotapietruszynska
Автор

Mpoki my favourite comedian of all time

aboubacarfitbae
Автор

mwambie mond ug wanamkubali aendelee kupiga kaz maaan wanamuongelea mzeee

daudmilan
Автор

Mungu akufanyie wepesi broo mpoki. Kwa Jambo la Kher.

meedaafarai
visit shbcf.ru