Mashabiki YANGA Watoa ONYO'Mashabiki Wa SIMBA Wasivae Jezi Zao Leo'

preview_player
Показать описание

Mashabiki YANGA Watoa ONYO"Mashabiki Wa SIMBA Wasivae Jezi Zao Leo"

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana pyramid kwakumkanya huyu kwasu kwasu, mbeleko au gongowazi fc

shiraziramadhani
Автор

Daud yanga chizi namba moja wapo 4 sasa timu ina wacheza 60

lucusmvuna
Автор

Kila la kheri Young African SC point 3 muhimu leo zidi ya Pyramids

daudhenry
Автор

Ushindi gani lazima. Leo safr inawakuta mpira c maneno

piumagoha
Автор

Nyie nendeni MISRI then mrudi mtetee ligi kuu mtachanganyikiwa

francisjonathan
Автор

WAPUUZI wamefungwa kwa upuuzi wao.Walichoma jezi za Simba. Kwani mlikuwa mnacheza na Simba??

mahadshekh
Автор

Sasa kwann wasivae nyukundubwakati na wao wanahakirisha timu yao c inacheza na singida uwo ni utaratibu kwamba timubikicheza unaweza kuwakirisha kwa jezi tu

seifsaid
Автор

Kwa kikos njaa hicho ushind asilimia o kufungwa ndio asilimia 100

husseinkonz
Автор

Tumeingia na jerzy zetu za Simba, tumewachangia mapato, tumewashangilia waarabu na wameshinda, yaani huku mtaani ni full

leonardsimon
Автор

Asimia 90% umebebendwa na waraabu umeona?

michaelmponeja
Автор

Mnaongea usenge kumamazenu unampangia MTU kuvaa jezi gani ushamba wakizamani

yahyaomar
Автор

Yanga FC aka Gongo wazi, SSC ilipocheza na TP Mazembe gongo wazi mlivaa jezi za TP Mazembe. Wanachama wengi wa Kwasu Kwasu FC wanatoka Ntwara, Lindi, Pwani FC.

kivungemmbuji
Автор

Sawa simba hawakuvaa nini kolitokea, pumbavu

mashaelieazer
Автор

Kauli yako ya chooni ndo maana mlifungwa, tatizo hamtaki kukubali kua tim yenu

alphakivamba
Автор

Kikosi kipana Kuna Simba timu wee vyura

kassidpandu
Автор

Ushamba huo kila siku unakremu msemo huo huo, mnaacha kujiandaa kushangilia mnajiandaa nje ya uwanja!! Sasa subirini waliojiandaa ndani ya uwanja watakapowavuruga na mtachanganyikiwa.

adrianondumbaro
Автор

Hakuna kitu kibaya Kama kukosa akili.hakuna Shelia iyo huo uwanja sio wenu .uwo uwanja ni wawatanzania.mechi ingekua inachezewa kaunda mngeweza kuwapangia kuvaa jezi. Kuttokana na kukosa akili ndio maana unajiita daudi yeboyebo.unamkana baba yako

alfiepaul
Автор

Jez tuna vaaa hamwezi kutuzuia ongeeni maneno na mna pigwa

samelychesham
Автор

Sasa hao wachezaji ww yanga gongo wazi hao wachezaji uliowataji kwa kuwa ni wazawa wa kanda ya ziwa ndio mtashinda na huyo mwenye elimu ya maatas hiyo elimu yake ndio itawapa ushindi tafuteni kitu cha kuwapa ushindi aio kutaja uwenyeji wa watu

mohamedkinega
Автор

Duu nini..atii...MENINAAA FC..nae kashirikiii club bingwa..kumbee

million.onlinetv