MSHUMAA EPSOD 1#MADEBELIDAI #NABIMSWAHILI #VIOLAMTETEZI#BWELA#gabo#kicheche

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mbwela napenda move sana 💓 💞 zako kaka ❤❤❤🎉🎉

RozinaKipande
Автор

Mzee Mirambo atakikujulikana yke ety asitokendani mmmmh 😂😂😂😂😂😂

Nahdiya-nrde
Автор

Hii Kali mana wale wakali wangu wote wamo❤🎉kaka mbwela nakuaminia tu sana❤😂😂😂👊

fatumakushonda
Автор

Jamani nimekuwa mtu wa tatu kutazama na wakwanza kukoment mwanzo wa movie hii.

salumiddy
Автор

Hii movie nimeipenda sana japo kauzuni kwa mbal🤔i

ishladyishlady
Автор

kiukweli mmefanya vizuri Sana braza madebe Pamoja na dada viola na mbwela pia hongereni kwakazi nzury Niko naitazama hapa sasaiv nimimi azizi mohamed mushi nikiwa hapa lusaka Zambia

azizimohamed
Автор

Duhh fundi dole gumba katoa rasta 😅😅 unyama sana

wisedulayo
Автор

Kwakuwa nimemuona mbwela ndomana nimeangalia hii movie

LiangGirle
Автор

Jamn kweli mambo mengine muhimu sana 😅😅😅 napenda sana😊😊😊

Jemsialidiwillisoni
Автор

Kaká Mimi ni shabiki was kwaza tatizo ruga Mimi naongea kireno

DanielDaniel-di
Автор

Epsd 2 tafadhar jamn nimeipenda nipeni like zangu

mickboy
Автор

JITAHIDINI KUBALANCE SAUTIII .
Yaan mtu unaangalia movie na rimot mkonon kama unaendesha drone

selemanizuhura
Автор

Bonge la series wasadau big up sana endeleeni kutuburudisha support zetu mnazo ❤❤

sarahmollel
Автор

Sasa hii ndio kali bwela pokea salamu zangu

sentsent
Автор

Kongole Atsumani Manamba nilikua nimezimiss video zako

vinniechymall
Автор

Mnaogiza maisha halisi hii inanifanya nipende maigizo yenu

Mpakauseme
Автор

Jaman Jaman huyu mzee mbona katoa tusi kuwa Sana "Fankulo" anaijua maana yake

mosquitoonlinetv