VIUSASA: NEEMA EPISODE 55

preview_player
Показать описание

NEEMA EPISODE 55 : I MUST KNOW THE TRUTH!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

wakwaza jamani from gulf mapema ndo best like zikam nawapenda sana juu tuna enjoy wote 🎉❤🎉❤🎊👌👌

euniceilavonga
Автор

Sijachelewa sanaa jmn nko mtu 20 naomba like Zang 50

SaumuOmar-yl
Автор

Neema unabore sana mbona uamini mtu kama Sharon mtu alikuwa amekuletea hadi watu wakuchape, , , I can't wait ujue Naomi na Sharon n manyoka

NjorogeJacinta
Автор

Aiii director please let one good thing happen to neema

Gracegift
Автор

Kale mpulira obusungu 😩😩any Ugandan enjoying it??

BenitahBaby
Автор

Neema na nyenye afunguke macho ache kumwamini sharon❤❤❤❤❤

SyombuaMuvengei
Автор

Japo n move ila kwa mikosi hii basi nkama neema alikosa radhi😮

REHEMANCHALIKA
Автор

Am in today in time....wale hamna mshenee kama naomy mko wapi

simbamlanyasi
Автор

Cliff Naomi atakuruka, vnye unakosana na Mark unaona kweli😅😅

sharonmuhatia
Автор

Jamen Shoron mbona umezidi Mungu atakulipia

GjKn-yh
Автор

Mack.mungu akubariki kwa ukarimu wako

aishajuma
Автор

That last part from babu J buana it's touching 😢😢😢

sam_thecourier
Автор

Finally cate umejulikana wewe sio bibi ya mark😅there we go😊

DorineKwamboka-bf
Автор

Sharon na Naomi 😢😢 mtakufa vibaya sana🙄🙄

DaisyChebet-wp
Автор

waweza pia kupenda nafasi ya pili vipindi zote zipo

anthonymaina
Автор

We sharon, una roho mbaya sana nakuchukia sana 😢😢😢😢😢

شاميمشاميم-رت
Автор

For Neema's little peace consider the CCTV aki wueh, , , , and Sharon remember karma is real

evelynewangila
Автор

Naomi unakaa vibaya kama nyoka nakuchukiea sanaa 😏😏

Eunice-v
Автор

Val Nye anakubaliana na mamaye pia atajua hajui

gladyswanza
Автор

14:14 Val anajifunza tabia mbaya kupitia kwa mama yake like mother like daughter then Naumi ako jealous na Neema

purityrotich