Chege - BURUDANI (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Watch now Video "BURUDANI" By Chege [Ep Single Released] The Music Video was shot in Dar es salaam Tanzania, Directed by Joma and Audio Produced by Mr T touch.

My first EP release for 2021. After all my previous album releases I have decided to release this special EP through my hard work so I can entertain my Fans. Enjoy exclusive hit bangers from me to you and have fun listening to my 6 hottest jams from EP named Burudani which mean Entertainment exclusively to you my die hard fans.

Ep Burudani Get it now on Major Digital Store!

Written & Performed by: Chege & Genius
+For More Information Booking Chege:

Connect Chege on Social Media:

#Chege #Burudani #Ep
©2020 Ziiki Media Africa.All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngoma Kal saaana hiii chege saaaf saaana chege

kazumaryussuph
Автор

Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪gonga like kama wampenda chege toka mwanzo

jeanalubiri
Автор

Let's buid in unit😘😘❤❤ am very blessed with this hit. Please dear 🇨🇩🇨🇩 i want here your likes

christianvahamwiti
Автор

Ngoma kali gonga like kama unamkubali chenge 🔥🔥

kennybinsd
Автор

Sikiza uzito, team chege mko wapi 254?. Nakubali mwanangu!.

nick-hfbb
Автор

Hujawahi toa ngoma kali kama hii nimekubali wew nomaa

sovinwiba
Автор

The legend is trying to stop the war between stars of you my star

usherbas-j
Автор

We from Kenya 🇰🇪 love you Chigunda shukuru Mzazi Willy M Tuvaalifanya tukakujua

Baba_Mario
Автор

Konde gang wampost kiba, team mond wampost jeshi, kama umesikia hii kitu tupia like, CHEGE

geraldfody
Автор

Izi ndio nyimbo tunazozitaka za kujenga sio za kugombanisha kweli chege wewe ni legendary mwenye ukomavu na busara

augustinomuro
Автор

Teteeni brand zenyu zisishuke, , ukiwa ju wala chini wakumbkee🔥🔥🔥🔥great song, , , great mess💪chege chege ad mwishooo❣gonga like tukisonga

mercyadima
Автор

Uko vizuri mzee babaaa
Wewe ndio mkongwee waletee waletee

wilfredgambo
Автор

Aiseee chege sikuzote unaimba lkn hii umeimba hady nimelia kituamchao hakijawahi kunitokea kulia kwa nyimbo kwanza mzuri Kisha inaelezea maisha yetu kwa ujumla hongeraaa sna kak ubarikiwe

binamubinamu
Автор

Like za Chege jamani from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿✌️🔥
2121

kingcicero
Автор

mziki mzuri haupo kwenye trending list, watanzania tuna tatizo

yassinuddi
Автор

Sawasawa gonga like Kama umepata ujumbe wa hii ngoma

msetoonline
Автор

Sure this song carries a great message to bongo nilijua kanyimbo tu kumbe bonge la SONGI.

DAUDILSIMON
Автор

Simply amazing piece of music....well balanced meeting the message. Legendary!!!

josephg.mwangi
Автор

Plooo plooo nakubali sana Big wangu chege toka Nyumbani ujiji

dogored
Автор

Where are my Kenyan people..naomba likes zote za 254 hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍👍

raydablessing