Mapishi ya Cheese Balls tamu |Shuna's Kitchen | Sweet cheese balls recipe

preview_player
Показать описание


Ingredients
2 cups flour
3/4 warm milk
1/2 cup full cream milk powder
1 tsp yeast
1 tbsp sugar
a pinch of salt
1 tbsp yoghurt
1 tsp vanilla essence
1 tbsp cooking oil
1 tsp baking powder

▫️For more updates please join my social media family ❤ 👇

__________________________________________

_____________________________________

✔More videos to watch;

#cheeseballs #sweetcheeseballs #shunaskitchen
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Woow maxhaallh M/mng azidi kukupa kipaji kikubwa ili tuzid kujifunza mapixhi kutoka kwko love U

maghirnahoda
Автор

Nitajaribu soon In shaa Allah I love how you explain kabisa 💯💯💯

RaniyahAnwar
Автор

Cheese balls yangu isha anguka lol 😆 😋 my mouth watered

rizwanmaslam
Автор

Mashallah mashallah Asante nimependa Sana mapishi Allah akubarikie mikono yako habibty 🙏♥️

fatmasaleh
Автор

Assalam aleykum habibty napenda kukushukur kw kutufunza mapish ahsant san Allah akujaalie kil la kheyr wallah vyakul Virginia nimejua kupitia wey ahsante nakupenda san

mrashjuma
Автор

Najaribu leo maana najifuza vingi kupitia ww dd allha akuzidishie lnshallha

safiyatheonlything
Автор

Ha ha nimecheka et ee chees ball yang ishanguka Asante Habibty shunu's😅😅😙😙😙😙😙😙

bintsalimalbimany
Автор

Thank you for the recipe I tried them and made one with condensed and the other with dulce de leche so nice!💓

Arwaaa
Автор

mashaallah shukran sana habibty jazakallahu lkheir😘👏

shadyaalismaily
Автор

Yan nikiona post ako tuu macho yananitoka najua leo najifunza kitu kipya 😍😍😍😍😍 mashallah uendelee kutufunza

dimplezhassan
Автор

Mungu akusimamie
MashaAllah kwa mspishi yako

cutiethuma
Автор

shukraan kwa kutufunza allah akulipe kheri... samahani kijiko kipi kikubwa unachotumia?

shufaazahor
Автор

Thnx mwalimu hidari 😘 ufundishaji mashallah unahitaji tuzo Allah akubaarik

a.a.m
Автор

Assalamu alaykum.thanks alot my😍 i adore ur talents mashallah amazing

ummukulthumabdulhafidh
Автор

Masha allah nitajaribu in sha allah lkn usitoweka cheese sipendi

mwanamisiramadhan
Автор

Thank u very much. Masha Allah i tried n they turned out yummyyy❤

aminamohamed
Автор

je kuna ulazima wa kutumia yoghurt na maziwa.?? badala yake maji pekee nitaeza kutumia... Thanx for always being the best mashallah

noositerabithia