BAADA YA NDOA YA HARMONIZE MAPYA YAIBUKA/WCB WAZUA MAZITO/ESMA AMTOLOEA HARMONIZE MANENO MACHAFU

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bora hawakutokea maana harusi wangeigeuza kuwa about WASAFI, wangeigeuza kuwa ishu ya kiki kwao. Hapa angalau shuguli imekuwa about bwana na bibi harusi. Hongera Harmonize. Wasafi ni wivu tu.

mamahustru
Автор

Mashallah... ALLAH awalinde....na awap maisha marefu hakuna aijuae kesho...unaemdharau ndo akawa msaada kesho.

yusufally
Автор

👏👏👏👏👏from 🇰🇪 nawatakia maisha marefu. Na barka🙏🙏🙏 muingie wawili mutoke watatu.na zaindi.watoto watakua was halali.🙏🙏🙏

sultanaswaleh
Автор

Pendeza yenu jamn hongereni Sana mungu awatangulie katika maisha mapya ya ndoa

linahkrt
Автор

Sioni ajabu na huyu mama alivyo na roho mbaya, walijuwa atashindwa wala hashindwi Hamo ataendekea na ataendelea kwa nguvu za Mungu. Wanarohoo mbaya. Wote wasafii hawaoni aibu.

janethbernady
Автор

mabrook sara na rajab, mungu akudumishe ktk ndoa na dini

umifauz
Автор

Wachafu wamezoea kuzini ongara sana amo mungu awajalie doa yenu idumu wana lana ao konde boy anajielea sana

hidayaking
Автор

CONGRATULATIONS, , ,,THIS COUPLE IS AWESOME, , ,WHO EVER DINT REACH KET HIM JUST WATCH IT EN ADMIRE, , ALLAH KAREEM Harmonze has shown us how his brave, , keep up dont turn back.

khightmaroa
Автор

Kwani esma alitaka harmonize asioe, kwani wamezoea kuona mtu akichezea tu wasichana wa watu, congratulations harmonize

shamreenkhaemba
Автор

Esma ni bure kabisa, kwani alitaka harmonize akae single?ama aendelee na michezo kama ya diamond?

winskitchen.
Автор

Hawajui wanavomkasirikia ndo ni sawa na chura kupigwa teke so a risk ni mwanzo was fitina na mtoto unapomlea akikua lazma ajitegemee ili msaidiane....sasa wao walitaka aendelee kuwa instead of them up to when....amazing kupata maadui wengi we uanze mafanikiio ndipo utaona hata uliekuwa nae karib anavokusema vibaya.

yusufally
Автор

Hahahaha ndio maana diamond haoi kwa sababu anaogopa kushuka kimuziki huo niujjnga. Kwani hao wachafu wasipo kwenda kwenye harusi dunia itasimama? Wakwende zao

helenkambi
Автор

Ndo mara mbili au vpi nasikia saerikali au vpi kama kubadili dini mashallah Allah awajaze maisha mema.

munguaibarikitanzanianawat
Автор

That's nice, , mungu amlinde sana qwa ndoa yke

lindakageha
Автор

Vizuri sana sana harmonize hogera sana sana Na sara inshaallah

baranmohamedmbashir
Автор

mashaalah allah awalinde na husda za waja, mungu awajaalie maisha yanayompendeza yeye

mariammlanzi
Автор

MashaAllah....congratulation both of them. I wish all the best in you're married guy's.

rowdyrondarouseyfire
Автор

WCB washenzi tuu wote team nzima haihusiani kumsusa mwenzao wanaanzaje kwa kweli hawana utu harmo hongera zako bro new life in sha Allah

officialarafa
Автор

Mashallah mashallah kheri inshallah rajabu &Sarah congratulations

aishamother
Автор

Diamond is being petty he knows Harmonize is a better singer, writer dancer and Fit he is threatens. Harmonize is going to be Huge now.

marierose