Gari Yangu (OG)-Carlos N Tz ft Young Daresalama & Abbah Process (Official Video)

preview_player
Показать описание
Okay!Gari Yangu (Original Version) video ya ngoma mnayoipenda na mliokuwa mnaisubiria sana hii hapa.Imefanyika DSM na mtayarishaji "Joma" Usiache kuishea link kwa wana wako wote wakitaa.Shea ili waelewe kuwa hii ndio original song.Tufikishe viewer kibao basi.Usiache na kusubscribe.Insta yangu ni @carlosn_tz

Also found in: itune,applemusic,shazam,deezer,boomplay,tidal,google play,spotify,amazon music,touchtunes etc.

some of the links are:-

#gariyangu #carlosntz #youngdaresalama #abbahprocess
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nawashukuru sana guys kwa kuitizama ngoma yangu, kusubscribe na kwa ku comment mawazo yenu mazuri juu ya hii ngoma. Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwashukuru na kuhakikisha nawapa madude juu ya madude. Samahani naomba ukitoka hapa ukurasani usiache ku subscribe na kuwaambia washikaji waje kuitazama ngoma hata kwa kuwatumia link ya ngoma.Insta napatikana @carlosn_tz 🙏

carlosn_tz
Автор

misha ya kisasa sanaa gari ndo habari nyingine kabisa

PiresMwampagatwa-huii
Автор

Aseee naipenda vibaya hii ngomaa 😗😗😗😗😗😗😗😗, nikinunua mkoko wanguu hii ngoma ndo itakuwa inadundaa💃💃💃💃💃💃💃

dativagabriel
Автор

Kumbe huu wimbo wako ndo maana waoo jamani penda Sana

aishamusa-mlpw
Автор

la pini.Tamu kusikiliza mpaka baaasi.Dah 🔥🔥🔥🔥

candicecarlos
Автор

Carlos wewe nihatali kazana Suzuki bilaut tulafiki sijui mwana misitali Kama yot

abdultabris
Автор

Ngoma kali sana nani Bado anasikiliza hii ngoma mwaka2021

eliasngunangwa
Автор

una flow nzuri sana bab, fanya kuachia ngoma nyingine, nmekua shabiki rasmi

richardmaxwell
Автор

Nilikuwa na Audi TT enzi hizo maisha yalikuwa poa.. ila haya maisha leo niko Benz.. but nimeparalize

africanjamesbond
Автор

Hii ngoma ban noma sana ilifaa more than 1 million views

DestineNakalala
Автор

Every time I’m logging in my YouTube account coz is this song ❤❤

Elishateams
Автор

"Si ya mkopo si ya baba ni yakwangu" 😁😁😁 nimependa hii bro

newrace
Автор

This song med me followe u for sure it's so sweet.

alikibamudajannyjannymuda
Автор

Bonge ya song sema young d kaua Sana kwenye remix big up Sanaa

barakatlemu
Автор

Leo ndio nimemjua huyu jamaa asubuhi nilikua nasikiliza ngoma yake ya ronado au mesi niseme tu unajua

DARAJANI_TV
Автор

Nani yuaskiza August 1 narudia Mara NNE kwa siku

janitorcoppers
Автор

Ngoma Kali Sana uncle Ntangeki familly

ericksensamuely