Bensoul - Nairobi (Lyrics) ft.Sauti Sol, Nviiri the Storyteller & Mejja

preview_player
Показать описание
💽 Welcome to EA Melody - Your home for east african music with Lyrics

🎵 Bensoul - Nairobi ft.Sauti Sol, Nviiri the Storyteller & Mejja (Lyrics)

🔔 If you like our content(s), Please click the bell to stay updated

▶️ EA Melody

▶️ Bensoul

🎤 Lyrics: Bensoul - Nairobi ft.Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja

[Verse 1]
Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin nikikurudia
Umenitesa sana.

[Hook]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender

[Verse 2]
Na mbogi yangu iliniambia
Eti nikusare but sikusikia
I don’ wanna do this shit no more my dear
Najuta kupendana

[Hook]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

[Bridge]
Gonga, gonga like
Gonga, gonga like
Gonga, gonga like
Gonga, gonga like

[Verse 3]
Rieng, rada
Siku hizi madame ni blanda
Jana cuzo alimkaza
He’s family, ah ah
Get together kwa bed

Hio story tumekataa
Maboy wengine blanda
Watakukulia mama
Na wakuchekeshe sana
Madame madame, eh

Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndani, dive

[Hook]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

End
___________

More About Song - NAIROBI

Written by: Bensoul, Bien-Aimé Baraza & Mejja
Performed by: Bensoul, Sauti Sol, Nviiri the Storyteller & Mejja
Composed & Arranged by: SoFresh254, Bensoul, Savara, Bien & Mejja
Produced by: SoFresh254, Bensoul & Savara
Recorded by: Eric Fernandes, Sam Are (Supadrum) & Trevor Magak
Mixed by: Trevor Magak, Fancy Fingers & Sharon Onyango-Obbo
Mastered by: Trevor Magak
Horns: Hornsphere
Guitars: Fancy Fingers
Bass Guitar: Yvan Kwizera
Background Vocals: Akisa Wangari
Recorded at Sol Generation Records & Snowball Industries

Tags:
#Bensoul #Nairobi #SolGeneration #eamelody
Рекомендации по теме