OLE SABAYA AIPA SAA 24 SHULE INAYOLAZA WANAFUNZI BILA KIBALI

preview_player
Показать описание
Mkuu wa Wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya, amefanya ukaguzi katika shule ya Sekondari ya Patmos iliyopo Wilayani humo,na kubaini shule hiyo, kulaza wanafunzi, bila ya kuwa na kibali,huku wanafunzi wawili wa Jinsia Moja wakilala katika kitanda kimoja.

Kufuatua hali hiyo,Sabaya ametoa Saa 24,kwa uongozi wa Shule hiyo,kuhakikisha kila mwanafunzi analala Kitanda chake na siku 30, kuhakikisha shule hiyo inapata kibali cha kuwa na bweni
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wabongo wana vichwa vigumu, serikali ikichukua hatua wanatokea mafala wanatetea🤔😫

danielalphonce
Автор

Sawa kabisa jihadhari kabla ya hatari

hamadali
Автор

Dahh unaitwa kama mtoto njooo APA hhhh akiota ndoto mmmmh

emanuelmwanga
Автор

Haya ndio yote yanayoongelewa then ikitokea ajali kazi ya kuilaumu serikali

bensonmsele