PRODUCER LAMAR: S2KIZZY, HUWEZI KUNUNUA HAKI YA PRODUCER MILIONI 2

preview_player
Показать описание
Lamar Producer kutoka fishcrab ameweka wazi ni Producers Gani ambao anawakubali zaidi kwa sasa Kwenye Muziki wa Bongo Fleva.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo nimekuwa wakwanza!!! Kama unamkubali Lamar gonga like twende sawa 😎😎😎😎😎😎😎

killarmancity
Автор

Lamar sio producer Mkongwe achen uongo cause he survived in game for few years and he disappeared bora ata Nahreel kidogo just imagen P Funk kaanza kuproduce 1995 til now na Lamar kaanza kusikika 2009 til 2014 akapotea so hajawa na sifa za kuitwa Mkongwe kama Prof.Ludigo, Bizman, Kameta, Enrico, Allan Mapigo, Bakunde,Said Comorien n.k muwe mnafanya research kwanxa ndugu watangaxaji

maryjoseph