AZAM MEDIA ITAKUFA KAMA IPP MEDIA

preview_player
Показать описание
SIKU ZOTE MBEBA WAZO ANAHESHIMIKA SANA MAANA WAZO NI MBEGU INAYOOTA NAKUWA KITU KIKUBWA.WAZO NDIO MWANZO WA JAMBO LOLOTE LILE. #mwalimugoogletv

UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII
Airtel money +255 685 72 22 17 (peter daudi)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ASANTE KWA KUFUNDISHA NA USHAURI, AZAM ni FAHARI YA TANZANIA na Tunawaunga mkono, Asante Azam ..

ikulunimahalipatakatifu
Автор

Kwakweli mimi naangalia Mpira tu pale Azam Tv. Kwani kuna Vipindi vingine??😢😢😢😢😢

songombingo
Автор

Mpaka leo sijawahi kuipenda Azam tv vipindi vingi havinivutii

evancemichael
Автор

Ushauri mzuri waachukue ili kujiimarisha

JumaLulanje
Автор

Sijawahi kuipenda Azam tv na huwa siangalii vipindi vyake havinivutii hata kidogo

evancemichael
Автор

Hii akili kubwa wengi hawawezi kumuelewa maana akili nyingi zimeganda na hawajui nini kinaweza kutokea

saltechnologiesco.ltd.
Автор

Mm sna ga mda wakuskiliza maskiniii 😂😂😂😂😂😂maisha yake yanamshinda😂😂😂

liberatusjackson
Автор

Kweli kabisa wachina wa startimes na DSTV ya mkaburu wanamitaji mikubwa wasiwadharau

golebenson
Автор

Umeongea point faza.. Kuna wale hawajamuelewa huyu mzee wana comment udwanzi, ukimsikiliza vizuri there's no hater ni point ambazo yeyote yule zitamsaidia sometimes somewhere..ukiona hujapata point ya msingi basi akili yako ya kubangaiza..chill😂😂😂😂😂

Joppa
Автор

Azam ina watu wenye weledi na technology mpya, kufa sio rahisi hv vitu nivyawahindi wenye asili kuwa ni watanzania, na niwatanzania halisi, hata movie zao wanaongea kibongo fasaha wako vizuri, wanachangamana vizuri ktk movie na weusi, IPP hiyo enzi hizo japo haijakifa mazima ila

pmpmprem
Автор

Wajifunze nni kila kitu kinahitaji pesa. Mzee wangu umechoka kweli kweli. Kila kitu kinawakati wake. Huu niwakati WA Azam waache wale bata

EmmanuelNyinyigwa-mo
Автор

Hilo nalo neno Azam kuna cha kujifunza

deomusyebi
Автор

Wanasahau kazi wanaleta ushabiki muwe mnaagalia watu wa kuwajiri

mazengojohn
Автор

Azam ife mara ngapi? Labda hiyo mipira.tu ndio inawasaidia kidogo

maase
Автор

Acheni zarau ndug zng kwahiy masikin hana mawazo wala sauti yeye hayo ndio mawazo yk

AmeDude-xb
Автор

Azam msijione nyie ni irreplaceable kuweni makini

fatumajohn
Автор

Acha maneno yako ipp mwenyewe alikufa waliobaki nao wanajitahidi kwani taarifa ya habari wengi bila itv hakuna kitu.

lawimanumbu
Автор

Kwanza Azam mchana haina vipindi vizuri

HusseinDjuma-cnox
Автор

Ukiona unawaza wengine kudondoka ni wivu

sirpaza
Автор

Umemfundisha mshamba huyo mwenyewe ameajiriwa t ni mtumwa wa azam hana akili ya kuanzisha cha kwake

MasterOil-qmvw