Litazame Daraja la Magufuli ziwa victoria mwanza kigogo busisi bridge project progress

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu awaongeze juhudi njema mmalize daraja

JosephChristopher-xm
Автор

Magu tungempata baada ya mwalimu tungekuwa mbali sana

MatronaThomas-wzsi
Автор

Tumepata pakuchezea Final Destination remix😂😂😂

b-creative
Автор

Daraja hili nimuhimu sana kwanza kunakuwa na usalama sana kwa abiria kuliko hivyo boti zao.kikubwa tuu hawa mafundi zetu waongeze spidi huyu simwingine bali ni mr. Kulwa nzilimo.katoro moja hiyo.

kulwamayala
Автор

mwamba wa awamu ya5 alikua spid sana kuwekeza kwenye ujenzi👏👏

makanjicharles
Автор

Siyo Kigogo - busisi bali ni Kigongo-Busisi. Hebu uwe una edit for errors hizo title zako!

kambamazig
Автор

Mbona sifa nyingi sana.Miundo mbinu ya barabara ni mibovu kuzidi majiji yote Tanzania

georgebundala