JUMA LOKOLE AMWAGA MACHOZI MSIBANI KWA DIDA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Juma jamani wewe unaniliza hata mimi 😢

khanniebaraka
Автор

Juma shukuru mungu alhamdulilah hii safari yetu sote kaka kikubwa duwa tu

fatmaally
Автор

😢😢daaah polen sana akuna kitu kinauma na kinaumiza kama kufuta namba ya mtu ambaye unampenda

RamlaSalum-uc
Автор

Hii safari huwa ni ngumu sana kuondokewa na mtu wako wa karibu acha aliye apunguze maumivu kuliko kulilia moyoni😭😭😭

maryswaibu
Автор

Pole San kak juma unanilza Hadi m jamn mungu akupe nguv inshallah 🙏 🙏

MariamJaberi-gy
Автор

Dida leo anamliza juma na babu idi wakati kawazoesha kucheka mda wote 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭eeeh mungu wape subra 😭😭😭😭

lastborn
Автор

😭😭😭😭kifo ni fumbo jamani pumzika kwa amani dida

زينهاا-شد
Автор

Analilia msiba wa mmbea mwenzie ndo ujifunze na ww juma Kaz kusema watu mnadhan ndo Kaz, ,r.i.p dida

LindaMbilinyi-nn
Автор

Juma pole sana mtu uliyezoeana nae unaambiwa hautamwona tena

paulmashimba
Автор

Mpk najikuta nadondosha machozi😢😢 amaa kweli kifo hakichagui pole kaka usilie tumuombee dua mwenyez mungu ampunguzie azabu za kaburun Maan mbele yeye nyuma sisi😢😢😢

VeeVaileth
Автор

Pole juma Rafiki yako ametangulia pole sana Mungu akutie nguvu

malkiarosemuhando
Автор

Duh juma lokole anajikaza anashindwa 😢😢

Sophmkumb
Автор

Mungu akawe faraja kwa mwanae ndugu jamaa namarafiki

m.mmarckus
Автор

Inauma sana atamtania nani Tena jamn😭😭😭😭ata mim nimetokwa machozi

HidayaRamadhan-nc
Автор

Juma lokole jamani umenifanya mpka nalia haki tuwe pole

pendochimammy
Автор

Sasa unalia waliokuzunguruka asilimia kubwa watoto wakike, ,,, mbona kama haileti picha nzuri hivi

TibazetuMitiyetu
Автор

Jamni juma adi huruma eti siliimim Maskin pole 😭😭😭

ZeyanaKhamismashaka
Автор

@Juma lokole mdogo wangu waniliza mpaka Mimi najua Dida alikua match yako hebu piga udibilai kwa Mola wako muombe Dida Mimi nimelia vya kutosha huku kwetu 🇰🇪

sweethoney
Автор

Walo baki ni fursa kwetu tubadilikeni hayo ni mawaidha tosha

SuleimanKhdija
Автор

Pol juma maumivu unayopitia n makubwa san

Teresiamwagange