EMMANUEL MGOGO - UNIOKOE BWANA KUTOKA KATIKA MATARAJIO YAO (Offical Audio)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama bado unabarikiwa na wimbo huu na umefunguliwa milango na Mungu kama ulivyo omba ngoga like hapo

lumandemwenebokyo
Автор

Nimeamua kufutia nyimbo zako zina upako mungu akubaliki mtumishi. 🇰🇪🇰🇪

rispathequeen
Автор

Emmanuel mgogo unanbarki na uimbaji wako hakika Mungu akulinde na kukupa maisha marefu

graceakimu
Автор

This song reminds me in 2017 when life was tough but I really thank God for everything he's done

kushandokahimoonda
Автор

Asante sana nimeipenda nyimbo hii ubarikiwe unaimba vizuri mno.

kotridamalongo
Автор

Asante Kijana WETU KWA upako MKUBWA WA NYIMBI zako. kila anayemkiri YESU ktk ROHO nakweli ni MBONI YA Michigan la MUNGU. NAMI NI MBONI YA JICHO LA MUNGU NA UZAO WANGU.

evalynerwegasira
Автор

Amen Amen ninabakiwa sana kusikia wimbo huu.Ubarikiwe mtumish

magrethabell
Автор

Sio kila kamba ni ya kuanikia nguo zingine in nyaya za umeme usiniguse utaungua maana nalindwa na Mungu

roberttyeflo
Автор

EMMANUEL BWANA AMEKUCHAGUA UMWIMBIE HONGERA KIJANA WETU. NAKUPENDA SAANA UNAGUSA MIOYO YETU. NIKUOMBE UZUNGUKIE MAKANISA YOTE ULIMWENGUNI UIMBE KILA KANISA. KWELI UNAGUSA WATU WENGI. TUTUMIE NAMBA YAKO YA SMU. UKO WAPI?

evalynerwegasira
Автор

Barikiwa sana kaka Emmanuel, nami naamini Mungu anakuja kukata minyororo niliyofungwa, , , , glorry to God

marymakumbi
Автор

Imenibariki sana hii nyimbo Mungu akuinue zaidi mtumishi Emanuel mgogo

annethmanase
Автор

This is so powerful....be blessed man of God

kavuthairene
Автор

Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Emma....kila ninausikia wimbo huu kuna nguvu mpya na upako wa ushindi unaingia katika moyo wangu....its a very nice song, inspiring and blessing song....whoop Glory to God

bennyngereza
Автор

Amen, nimebarikiwa sana MUNGu akuzidishie maarifa ya kumtumikia katika Roho na kweli Blessed

danielmichael
Автор

siyo siri bro imma mie najaribu kuomba hawajamaa wa youtube wanipe japo mara moja tu kulike mara 10, aisee basi zoote nazimwaga kwako kaka, shetani ajue kwamba si kila kamba akaanikie nguo atajikuta ananing'inia

paulsaimon
Автор

Amen mtumishi wa mungu ama kweli ukiwa ndani ya yesu unakuwa mboni ya jicho lake hakuna kubabaishwa

amosimatonya
Автор

Since 2017 up to now this song had been my favorite one

kushandokahimoonda
Автор

bwana awezi tuwacha milele mtumishi niko kenya

solomonmututu
Автор

wimbo umenitoa hatua kwenda hatua barikiwa sana Mtumishi wa Bwana

rozinamaleka
Автор

nalindwa sina wuonga...Mimi ni boni ya jicho ya MUNGU.... Amen.

everlynndunge
visit shbcf.ru