filmov
tv
Chyno - Burudani (official video) ft Loh Ra

Показать описание
Baada ya kimya kidogo leo kijana wenu Chyno anawaletea video ya wimbo wake pendwa wa BURUDANI. Tumekuwa na muda mrefu na bidii kufanikisha hili, na tumefanikiwa kukuletea video yote ikiwa ni kukupa burudani wewe kama shabiki na mpenzi wa muziki mzuri. Usisahau kusubscribe ili uzidi kumpa nguvu Chyno ya kufanya makubwa zaidi. Asante