BONGE LA NYAU ''Mziki ni kama ushetani - kitu kinakuvaa'

preview_player
Показать описание
BONGE LA NYAU ''Mziki ni kama ushetani - kitu kinakuvaa"

Msanii Bonge la Nyau ambaye alitamba na ngoma kama uaminifu, vice versa, aza, tusiachane,najiona mbali pamoja na walaghai na nyingine kibao...

Msanii huyo amefunguka na kusema kuwa hivi karibuni atarudi kwa kishindo kama zamani, yaani atakuwa anaachia wimbo kama mvua..

#BONGELANYAU

Category
Entertainment
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siokama ushetani.muziki ni shetani hasaaaa

tatuatut
Автор

Mziki sio kama ushetani ni ushetani kamili

ashritaabdallah