Dj Shiti Funniest Compilations Eps 25

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

"Maji yenye unatumia kuoga inajaza swimming pool ya Kasarani"😂😂😂😂💀

rosendeezus
Автор

Tafuta kazi, tafuta kazi.. Kazi ndio ina weka watu hapa town 🤣🤣🤣🤣 Una eza fanya koroga 🤣🤣🤣🤣

robinonyango
Автор

When am sad i look for dj shiti and i get to laugh again

bayeteingosi
Автор

Mdomo haiendeshani na nguo, ati ngate 🤣🤣🤣

johnmark
Автор

Dj Shiti my role model, best comedian ever, best creative guy ever, I respect you Steven Oduor Dede AKA Dj Shiti

elijamukiri
Автор

“Nakuangalia juu, tena chini, kando na kando it takes time”🤣🤣🤣🤣🤣

Mulletmommy_
Автор

"Usimwone paka amenyeshewa kikakwoneshacho ni simba" 🤣🤣🤣🤣 always making my day. Can't get enough. 😂😂 @shiti

razohrian
Автор

Jifunze kuoga Kama paka ...kulamaba lamba🤣🤣

rebeccaree
Автор

Shiti wanywa maji kwa kutumia kijiko😆😆😆

ghulamyassintv
Автор

Kuna mtu amenibamia apa ata sijaona no nani ....kuja nikupulize itapoa hahaha, ha ve watched this part over hundred times

hellenwanjiru
Автор

Hhhh shiti best comedian in eastern and central Africa

mohussle
Автор

Huu ujumbe ni mzito maze....unaita crotas...( tajiri)....mpangaji. Eih!!.Enyewe angekuwa na kwake kama angekua tajiri na hii maringo na madharau yote. Nimebambika .

deseodavidmwita
Автор

Huyu ndo shitii tuanemtaka most funny replies, we need to see more works of these kinds

kennedybernard
Автор

Hahaha shity hizo options bna za kuoga hakuna ile inamake sense 🤣🤣🤣

Mataikayo
Автор

😂 😂 😂 😬 ati jane rose ajifundishe kuoga kama paka .kujilamba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

hanningtonedagwa
Автор

Nguo haziabatani na mdomo ati ngate😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

joharilastborn
Автор

Mdomo haiambatani na nguo Ati nget😂😂😂😂🔥

rahmaabdi
Автор

Huyu jaamaa hufanana MURATHE.😂😂 protus

boollyvidi
Автор

Kuna mtu amenibamia apo nje ....hahaha nkirote my all time best na shiti

muthaurasamson
Автор

Always mnanifurahisha, Kila siku siwezi lala bila kuangalia hi, big up

msangiwema