DOZI YA KUWAKABILI FOUNTAIN GATE FC INAANDALIWA HAPA TAZAMA JESHI LETU MAZOEZINI HAKUNA KUPOA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

naipenda sana team yanguu I love you simbaaa❤❤❤🎉🎉🎉

JohnsonAmos-pywf
Автор

Nmefurahi kumuona Aishi Manula. The air Tanzania one.

sethjohnson
Автор

Simba siku zote ndio inanileta YouTube club yangu pendwa

luluray
Автор

Kila la khery club yangu katika maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲 🦁💪

iddiramadhan
Автор

Ishaallah mungu isaidie tim yasimba iweze kushinda mataji

saidsalum
Автор

Kwasasa naiman na simba yangu na wachezaji wote ninawapenda sana

ldfyfis
Автор

I love you Simba that's all I can say

AnnastaziaMrina
Автор

mm maisha yangu yote naamin katika simba

OmaryKhamisi-gb
Автор

Nafurahisana kuona wachezaji wote wanajituma mazoezini UBAYA UBWELA simba nguvu moja

gervasdenis
Автор

Ndo kwanza ligi imeanza jman na ni mechi moja tyu imechezwa, mda bado upo tusimpambanie sisi mashabiki ili apate namba, apambane yeye.kwa kuongeza juhudi na maarifa katika kazi yake, kocha bado hana kikosi cha kwanza kwahyo kazi kwake nafasi bado anayo!, SIMBA NGUVU MOJA❤

JustinMwakalukila
Автор

Apa wakudaka ni kamara tyu nikimuona matula nakumbuka mechi zidi ya prison yule jamaa mbangula alifunga goli raini Sana afu Leo mumrudishe kikosini HAPANA na ile derby ya robatinho zile 5 ni uyu uyu simtaki kabisa mimi

IbrahMoyo
Автор

me ningependa kutoa ushauri tu tusiwe kila mazoezi yetu tunarush mtandson mengne yawe siri yenu

abdurahimmohammed-iz
Автор

Vifaa vya kisasa vinatakiwa kwa magoli kipa na wachezaji wengine

skylermsemo
Автор

Lkn uongozi wetu inabidi uongeze vifaa vingine vya mazoezi

skylermsemo
Автор

*ila mzamiru yasin kwangu mm nataman awe mbeba jezi wa timu*

shadrackjuliuskaboya