yesu nimwagie Baraka latest video by embarambamba

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tatizo nyie wakenya Mnawaza sana Ngono, Embrambamba amesema Yesu hajamaliza sentensi tayari mnawaza Mauchafu yenu.

bukurunestory
Автор

Kisii Kenya should be immediately declared the 8th wonder of the world becoz this artists they supprise even angels

pewex
Автор

nyimbo haiendani na video yenyewe huwez sema yesu akumwagie Baraka alafu unaoga mtoni na bucta, wakenya na nyimbo zenu mbaki nazo huko kwenu msizilete Tz🇹🇿

kisererajaphet
Автор

Nachotanga maji kwa hiyo mto, nowander ugali ilikua inataste sabuni😂😂😂😂😂😂

faithwambui
Автор

aijaona kitu mbaya kwa hii song iko poua hapa kusema ukweli embrambamba ameonewa na vile Ana trend

peaceboyke
Автор

This is genius artist, he uses current real life slug language and applies it in a very cleverly manner to his gospel music 🙆

cosytvkenya
Автор

Nomaa sana 🎉kuja sasa Nairobi kidogo tuone sasa utatoa ganii next 😅😅

pendoslove
Автор

Embarambamba wewe ni top musician Anza kuimba na kikisii sasa🙏😂

alfredsang
Автор

Kama hivi ndivyo baraka itmwagika ikae.

estherkabasa
Автор

Embarambamba si hiyo mto ikubebe ikumwage tanzania uondoe aibu kenya🤔🤔

susannjoki
Автор

Baraka inatiririka.. kisii to the next level 💯 👌 ❤

Lastbornwenu
Автор

Hizo Baraka zomwagike kama maji, Noma Sana bro

victoremmamuel
Автор

Bits though waah! 😂 Hoofer is killing me alive!

ByronOtieno-qrig
Автор

A part from doing this to earn your living try to be a good example for the generation to come.

Kegogistar
Автор

Aki wewe, you can't stop amazing us

mercychepkemoi
Автор

😂😂 KFCB made me chungulia hukuu .... 😂😂
Wamesaidia sana embarambamba kupata views 😂

ladyjays
Автор

I wonder how the next generation will think about this😢😢😂😂😂

Meekjohn
Автор

Mahubiri ynye kulipa ndo haya sasa wengine mtakula matoke wenyewe kumea tumbo tu😅

clementstephen
Автор

Yenyewe ile matope yote unaingianga inahitaji maji ya mto

patrickkimani
Автор

He's a good swimmer but anachafua maji na hiyo soap

war_rigs