ALHAJ DR. SULLE: HII NDIO KALENDA YA WARUMI | ILIVYOWAPOTOSHA WATU | MPAKA HAYA YANATOKEA LEO HII

preview_player
Показать описание
KALENDA YA WARUMI ILIVYOWAPOTOSHA WATU-ALHAJJ DR SULE
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana

guyogalora
Автор

Uko vzr Dr sule nakupenda kwa ajili ya allah

mariamsefu
Автор

Mashaallah jazakumllah kheir Alhaji dr sule

HassanAli-eqko
Автор

Mashallah tabarak Rahman sheikh sleiman ❤🥰🥰🇴🇲🌹

fatmasalim
Автор

Hiyo faida ya wasomi katika taasisi kunusuru maamuma kuangamia katika uzushi.

machoguhameri
Автор

Sheikh uko vizuri ila pangilia maudhui

hawahassan
Автор

Huwezi kubadilisha chochote, hii Dunia inawenye.wenyewe ndiyo wanaopanga Kila kitu.wewe una Imani, wenzako Wana Imani na na sayansi.
"Yeremia ni agano la kale ambalo halina nafasi Tena"

nalingarowl
Автор

Wakiwa kwao watafuta hivyo.Nje ya hapo kalenda ni hii 2023. Hii inatawala.Hii ndiyo kalenda kuu, zingine ni utamaduni ambazo haiwezii kuipiku calendar 2023.

nalingarowl
Автор

Kalenda ya kislamu haianzi jioni,
Bali inaanza usiku baada ya kuzama juwa.

abumohammed
Автор

Dr Sule Baba 😀😀😀😀 eti sisi tuliosoma udaktari.hahah na yupo kwenye hadhara ya kidini

farijala
Автор

Assalaam Alayqum Warahmatullah Wabaraqatuh, Dr me nilikua msabato nikasilimu, ilah naomba uliza hii swali sabbath tulikua tunaamini zaburi, injili na Taurati je sio sahihi kuamini hizo vitabu na wasabato wenye nmewawacha huko wataenda Jehanam ..??

gerraldlisser
Автор

Umechambua vizuri sana, ila ukiitaja kalenda tunayotumia sasa ya (mshahara) inauhusiano mkubwa naJulius Caesari, Mwasisi wa Roman Empire na mwezi July(saba) 7, umewekwa kwa heshima yake. (July -Julius)

johnrimoy
Автор

Sule usidanganye watu
Dola kuu zilizotawala dunia wakati huo ni mbili tu warumi na fursi.
Rudia
سورة الروم

abumohammed
Автор

Waithiopia unamaanisha wanatumia kalenda ya ukweli

patrickmbanya
Автор

Huyu mzee anajivuruga
Muhammad mpaka anakufa hakukua na calendar ya is Kiislamu.

Kalenda ya kiislamu imeanzishwa na Khalifa Umar ibn Al-Khattab miaka miwili baada ya kifo cha Muhammad na wazo la Lunar calendar amelitoa Kwa Watu wa Egypt walikua wanaitumia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kabla kuzaliwa kwa Muhammad.

Na masiku ya kalenda ya Kiislamu yamechukuliwa direct kutoka kwenye calendar ya Gregorian
Ahad - Sunday
Ithnain - Monday
Ath-thulatha - Tuesday
Ar-ruba'a - Wednesday
Al-Khaamis - Thursday
Aj-Jumuah - Friday
As-Sabt - Saturday
Na huyo mzee Gregory nae hizo siku aliziiba kwa dini ambayo haitambuliki sana.

Janja janja nyingi za sayansi na historia haziitakatishi kalenda ya kiislamu.... get your facts right mzee

BigZhumbe
Автор

Kweli waislam wanaongozwa na tahira nakwakua huwa hawapendi kusoma eti muingereza katawaliwa anashindwa kuelewa kua England Espain Ujeruman Ufaransa itali n.k ndo Roman empire yenyewe

francisjoseph
Автор

Kumbe mnajua kama Biblia ni kitabu kitakatifu! Ila mkiwa kwenye debate mnafanya ushabiki kwaajiri ya kuitetea Qurani kitabu cha majini, Mungu awape kuijua kweli ya Mungu, ndiposa Biblia ikwanena hivi,

(Yer.8;8)
Mwasemaje sisi tunaakili, na torati ya Bwana, tunayo pamoja nasi, lakini tazama kalamu yenye uongo ya waandishi, imeifanya kuwa uongo.

Hii Aya Mungu alinena akimaanisha kuna waandishi ambao wameandika maandiko yao tofauti na hii Biblia, ili waifanye kuwa uongo,

makutanochristoph
Автор

Wewe ni muongo babu
Mbona
Waingereza wametawaliwa na wa Scottish
Warumi
Wafaransa
Wajeruma etc

maryaika
Автор

Wakati huo uislamu ulikuwa wapi wakati huo?

godwinkileo
Автор

Uyo ndio ukweli ethiopia wako 2014 kwa sasa😅 ukweli nimwezi wakiisilam awo wagregoria mwezi wawo tarehe moja inaingiya ata pakiwa giza hauna ishara ila wakiisilam tarehe moja mpaka mbili mwezi uko na ishara

sawdaasawdaa