TMK Wanaume Family - Tupo On (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
TMK WANAUME FAMILY Presents To You "TUPO ON" By: Tmk Family . The Song Was written by Tmk Wanaue Family

Music And Beat Was Composed By: MORE beat From CENTRE MKUBWA NA WANAWE Tanzania... The Video was Shot in Tanzania By Director SAM...

For Bookings And Enquieries:-

This Song is Available On all Digital Platforms
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sticko like zako APA safiii mtoto wakitaa tisha

cirilyustembo
Автор

Mmerudi kwa kishindo bado simuoni chege kama umemisi chege kwenye hilo kundi like twende sawa

gadsonmanchester
Автор

TMK Wanaume yooo! Isee!! mnatisha, east Africa mzima u guys have unique style of dancing and singing especially the hood voice, u shouldn't stop, keep on blazing fire 🔥☄wapi likes za TMK???

nicksjahzyno
Автор

Temba mbana hakili yako unaijua mwenyewe utakufa huku umedinda nahitaji like yako

butungadecoration
Автор

Chama kubwa kama kawa, ila hapa mshauri wenu kakosea, hii beat hapana inapoteza ladha ya TMK tunayoifahamu, , from kenya Faiyaaa TMK, , , KIBOSS BOSS

ramseykigwa
Автор

Pumbavu sana tembanawenziyo mamaye jinga sana ivi leo mme in fulahisha naomba mtoe ngomamila wiki penda sana tmk.

gogolamavi
Автор

tunamuitaji nature na chege ...kosi likamilike

aliuali
Автор

Good music is back, , muache ujinga wa kukaa kimyaa na kurumbana bila mipango...nawakubal

emmanuelmayunga
Автор

Mmerudi kweli Tmk bado chege & nature hapo

muddynassoro
Автор

Makamanda...Tmk for live hashoo from 254 nawakubali

ahmedhashim
Автор

Song kali Sanaa.... Nakubali.... Wapi likes na views jamani.... Tuifikishe 1 million views kama pia mnaikubali...

o.o.
Автор

Mrudisheni nature na chegge mapanga yanoge zaidi

frozenrozen
Автор

mazee style zenu mnazjua wenyewe hatuwez kuwaiga kabs...

raymondkanyama
Автор

Kama juma ayumo amutafika popote familli

nshimirimanaalain
Автор

Group haiko Complete bila Nature na Inspector

tobiasbosire
Автор

Daaah huyu mpiga chorus ni bonge la msanii...nmemuona tangu wimbo wa temba na hii ni balaa..akitoka kivyake atakua mbali sana tatiz muda tuu.

rahimmarions