Jinsi ya kuedit picha yako na msanii yeyote kutumia simu yako (picsart)

preview_player
Показать описание
karibu kwenye mafunzo ya kuedit kutumia simu yako ya mkononi na app ya picsart ukitaka kutumia picha nilizotumia link hii hapa chini..

kudownload app ya picsart link ni hii apa

viedo ya kujifunza jinsi ya kuchonga picha yako vizuli video link hii apa

usisahau kulike na kushare video hii na watu wenghine wajifunze
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kaka nawezaje kubadilisha picha ya mtu na kuweka uso wang yaan nionekane mm kweny pich ake

anordbenjamin
Автор

Ww una2mia kompyuter usi2fany sisi ha2na akili

SaidhajiMwaruka
Автор

Oya mwamba picha tunaisevuje kwenye galler ukisha maliza kuedit

dennisfaraja
Автор

Mbona nikitaka kusev inagoma wanataka nilipie

josemangula
Автор

Sasa bro unatumia data kwenye kufanya hiyo process

dalinitomolele
Автор

Afu weye mbona kama unatumiya computer hivi 😂

king_umtiti_For_Everybody
Автор

Wapi link ya kudownload app haipo play store

abdallahsuleyman