Yamoto Band – BASI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hamu haishagi ya kuskilza huu mwimbo km nww unaikubali gongo like ap

farahatiissa
Автор

Kama kupenda zambi basi kwa mungu nitakaa kitako 😊😊 2024

RebeckaMwengo
Автор

Mashallah naipenda wapi Likes from Kenya Mombasa

kichunasalim
Автор

ya moto 🔥♨️🔥♨️🔥🔥love this song wapi likes from Kenya

shiksjustin
Автор

Nyimbo ni mfano wa kuigwa kwakweli kali sana

JaydanFrenta
Автор

Ukisema unakwendaaaa basi nenda na moyo wangu eee 🎶🎵🎶🎷kweli penzi kilema niachie magongo yanguu🎶🎶🎶🎺🎻🎤🎷🎧ngoma tamu kinoma

munakassim
Автор

from Saudi Arabia nawakilisha East Africa ha haha this song nmeicheza Kwa nyumba ya mwarabu and they really enjoyed it. awesome bromines

YoungVee
Автор

I can't imagine quarantine ndo imefanya niugundue huu wimbo, it's a hit

faithshelagh
Автор

Jamani mpaka raha sichoki kuisikiliza hii nyimbo..yamoto band ni fire please naomba mlirudishe kundi lenu la yamoto band nalipenda sana na ninawapenda

qautharhamis
Автор

Mm husikiza huu wimbo even 20 times a day...I love this ❤❤

WhitneyTruphosa-qjfi
Автор

ngoma Kali sn toeni nyngn Kali kuliko iyo😘😘😘

arshayynahberway
Автор

Yamoto umoja ninguvu mubaki ivoivo enock siku nyingi hatukusikiyi mutupe burundani

sandreenabdul
Автор

ithink inafaa mjirudie kuwa yamoto band. noma sana

desmondsavatia
Автор

Ukisema unakwenda nenda na moyo wangu wee kweli penzi kirema niachie magongo yangu

oswardnelson
Автор

Nawakubari sn msiachane tena nyimbo nzuri

najimahrupiahgomo
Автор

one of the best swahili song i ever listen big up yamoto band am frm kenya

kajaymopao
Автор

Daaah ni noma sanaaaa huu mziki unanikumbusha mbali

FettyMoses-io
Автор

Nateseka peke yangu kwenye godoro baridiiii...add that to the line😂😂😂

amachekem
Автор

Pale butcher nilipoisha nyama nkabaki shoka tuu likes za yamoto 🔥🔥🔥

alekkytrapking
Автор

Ngoma kali sanaa salute kwenu ma blothers

IsakaKifanyi