🔴#LIVE​​​​​: KINATA MC Afunguka KUSAINIWA KONDE GANG, KOLABO na IBRAAH | KATAMBUGA...

preview_player
Показать описание
🔴#LIVE​​​​​: KINATA MC Afunguka KUSAINIWA KONDE GANG, KOLABO na IBRAAH | KATAMBUGA...

MSANII wa Singeli ambaye ametikisa mitaandao ya kijamii baada ya kuimba wimbo wa Singeli kwa lugha ya kiingereza, Kinata MC, amefika kwenye kipindi cha KATAMBUGA na kueleza mengi kuhusu muziki wake...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kinata nakukubali Sana wapi like za kinata kwa wanangu wa lindi LD

omarymtamajika
Автор

Namkubli sana kinata mc kwnz dini pili busra afate ushauri wa mama atafik mbali we love you

salimbilali
Автор

Dogo una hekima naheshima sana mungu akujalie umenifanya niipende singeri

shabansalum
Автор

Félicitations mon ami Mc knt 🙏unanifany nipende singeli

dominicknondo
Автор

Aliosikia manager anasema kinata anatoka mtwara like zenu

mwakimpalama
Автор

Kinata ushanata km talent unayo kimbiza kifimbo hicho komaa msanii wa singeli una piga ngeli 👊❤️

rasjamal
Автор

Nimekubali hapo alipo sema present er mtwara alafu kinata ukamwambia natokea lindi big up san

brunnerrhymes
Автор

Mc kinati nakukubali sana yani do le migo nikali sana

papaismael
Автор

Meneger kindolo anajua kujieleza vizuri sana..the good vibes..

rsautoservice
Автор

Jamaa anakipaji Sana inaitaji sapoti Sana

taufiqnazilu
Автор

Huyu jamaa huwa ni mwamba sana ninazijua kazi

Mwarobaini
Автор

Kinata balaa jipya sana hapa mjini...wale wanaojiona wakali wa singeli hapa mnakaa vibaya vibaya...huyu mtu ni balaa na nusu...sio dullah wala meja anaweza gusa huu mziki..

rahimmarions
Автор

Mpende mkeo Sana Sana usimuache kabisa

baranmohamedmbashir
Автор

Kinata msaiishe mtangazaji unatokea si mtwara mwambie lindi mkoa

mackmtata
Автор

Mtaje na mkuu wa wilaya shaibu ndemanga nauli yake imeusika

mackmtata
Автор

Ni kutoka Lindi manispaa cyo mtwara mwamba kinata wazee wa gnja za mayai

justinestuart
Автор

Kwani hamuna viti 😂😂😂si mutazama miguu

pili
Автор

Aipendezi kwa urembo wako kukaa na izo pele nipe naiwani yenu nikutumie na ukifanikisha kuzimaliza utaniambia kisha unipe asante tu siitaji pesa naitaji duwa pekee

papaismael
Автор

MC Kinata Mungu amuepushe na Corona.
maana akiwa nayo watangazaji wa bongo wote wataipata kwa hizo interview na style yake ya chafya.

simonanthonykayombo
Автор

Naona uko unangaaa kaka mjini hakuongopiii at

HassanMohamed-vsre