SHABIKI AMLIPUA SAMATTA HAJUI MPIRA UBISHOO TU AMETUFUNGISHA /BURUNDI HAWAJUI MIPIRA

preview_player
Показать описание
SHABIKI WA TAIFA STARS ALIPUA SAMATTA AMESEMA SAMATTA NDO CHANZO CHA TAIFA STARS KUFUNGWA HAJITUMI DUHH NI BALAA TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW
#TAIFASTARS #BURUNDI #SAMATTA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakupongeza dada upo vzr Sana umeongea ukwer

stefanosanga
Автор

Dada upo vizuri tatizo wanakalili usimba na uyanga mbn wachezaji wapo wengi jamana tubadilike taifa stas wanaitwa walewale ata wakiaribu

danfordfabian
Автор

Safi Sana dada kwa kuona hilo kuwa sio Mkude mwenywe tuu ndoo alikuwa uwanjani

rebeccakorduni
Автор

Samata asajiliwe na shafii kucheza ndondo cyo taifa stars

josephatisabu
Автор

Mimi mrundi 🇧🇮🇧🇮 wa Tanzania mnaweza mziki tuu na mapicha ya utupu😁😁

jumasifu
Автор

Wa Tanzania poleni sana ila msisahau kama hamna washambuliaji washambuliaji ambao mnao ni Wa wili samatta na msuva tizameni ligi kuu la Tanzania wa shambuliaji bora wote kuanzia Wa1hadi ku 5wote niwageni tengenezeni kwanza wa shambuliaji njo mlilie ushindi

timotheemutima
Автор

Dada kaongea point hongera kwake, kagusa hsia kiukweli

ussihadji
Автор

Dada umeongea fact kwa ujasiri mkubwa sana

jerryboa
Автор

Bora tulivyofungwa tutazidi kujipanga kwa mechi ya Tunisia

SalmanKhan-ebpt
Автор

merry mama wa mpira kweli kweli ukiona paka mwamba anamkubali mtu jiulize

adamramadhani
Автор

Watanzania sisi Bora tungeacha tuu maswala ya michezo maana sio fan yetu

saidiuchebe
Автор

ndo hivyo tumefungwa sasa na huyo mkude wenu, mchezaji akiwa hana nidhamu wanini kumpanga kwenye kikosi cha stars

chrispinchristopher
Автор

Dad anaongea point wazee waachwe tehna vijana wapewe nafac

alriyamy
Автор

Huyu dada anaakili kubwa sana ya mpira
Kuna wale wakina kikoti, manyanya, sajo aisee hawa jamaa forwad line yao plas bocco na samatta hakuna shaka juu ya ushindi hasa mechi za nyumban

mussakasimu
Автор

Samatta Jina tuu kiwango hamna bora bocco

brenthylland
Автор

Kuna waziri junior ni mchezaji mzuri sana ila kwann haitwi team ya taifa .inabidi nakocha wetu wabadikike kuna wachezaji ni wazuri mtibwa, kagera, KMC lakini wamekariri kutuwekea wachezaji wanaozurura uwanjani hovyohovyo.

ismailyoyo
Автор

Lakin mwajitetea walai poleni soten ila ingekuwa red niwa yanga

mdalamgir-guhu
Автор

Samata ni bishoo tu hamna mchezaji apo.

josephatisabu
Автор

Sio kacheza chini, ya kiwango hajui tu migoli ya uchawi tu kanikera kumtoa nado unaingiza kifurushi

lugolomela
Автор

Mkifurahiya kupata furahiyeni na kukosa pia

amissaamissaitangishaka