Dr. Sule ni Hatari, Aichambua Sayansi ya Uumbaji wa Mwanadamu

preview_player
Показать описание
OBA online tv (Omar Bakari Almasi)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Masha Allah Dr sule 😘, , uislamu kuna raha jamani😍😍

mohammedaliy
Автор

Dr sure ni bingwa wa ma Dr wote dunian mashaalla

hawahassani
Автор

Ukweli mtupu dr sule mama wanadharaulika sana

allymasms
Автор

Allahu Akbar ni maneno ya kutafakari na sio ya kuchekesha

mchangarocky
Автор

Uislam aki jamani tu swalini, tu fungeni na ku fwata shariya .

SufojuniorSufo-irgo
Автор

Uislam hausemi uongo kamwe Kwan sayans na uislam Cha mwanza nn

AsmaAsma-obwl
Автор

Haya yanapinga na sayansi halisia. Siku 6 au 45 mm

GodfreyOsward
Автор

Swali Je quran inasema nini kuhusu hii process ya uumbaji ?
Quran 86: 6-7

geprony
Автор

YAANI SWAHABA WA MTUME AKOSE RADHI ZA MAMA YAKE...ALAFU KIFO CHAMSUBIRI MPAKA KUNI ZIKUSANYWE MPAKA MAMA ARIDHIE NDIO UTOE SHAHADA...KIFO HICHO...

AbuuAbdilRahmaan
Автор

Ni ufafanuzi unaotokana na uelewa wa Akili yake tu.Uhalisia haupo.Ni mawazo dhahania.

fnnyanda
Автор

tupe maandiko ya Quran nasio kutumia akili za kisayansi tueleze Mungu anasemaje kuusu uumbaji

emanueltryphone-cvwl
Автор

UKIIFUATA SANA SAYANSI UTAJIKUTA UNAANZA KUMUPINGA MUNGU
UNAISHI KWA NEEMA YA MUNGU AU KWA SABABU SAYANSI ???

SunguraShabani
Автор

Uwongo mwingi kwa kuumia kivuli cha sayansi, huo ndio uislam

imanikalongolela