filmov
tv
Vivian Corazone wa Simba Queens azungumzia ushindi dhidi ya Kawempe Muslim
Показать описание
Neno la nyota wa Simba Queens, Vivian Corazone akizungumzia mchezo wa leo dhidi ya Kawempe Muslim ya Uganda.
Kwa ushindi wa leo, Simba Queens imetinga nusufainali ya michuano ya Kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake. Mchezo wa mwisho hatua ya makundi watacheza Agosti 23 dhidi ya PVP Buyenzi FC ya Burundi ambao utakuwa ni wa kukamilisha ratiba ya kundi “B” ambalo wao ndio vinara.
FT: Simba Queens 3-0 Kawempe Muslim (Vivian 64’, Jentrix 69’, Elizabeth 75’)
#CAFWCLQ #CAFWCL #CAFWomen #CECAFAWomen #CECAFA #CECAFAWomensClubChampionship
#SimbaQueens #SimbaQueensEthiopia #SimbaQueens #KawempeMuslim