filmov
tv
JOTO ARDHI NA UZALISHAJI UMEME / MAZINGIRA

Показать описание
LEO KATIKA MAZINGIRA TUNAANGAZIA JOTO ARDHI AMBAPO Kupitia miradi mbalimbali ya uzalishaji wa umeme yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati elfu tano Kumpuni ya uendelezaji Joto ardhi nchini inalenga kupunguza utegemezi wa nishati ya mafuta gesi na maji ili kuimarisha usambazaji wa Umeme wa uhakika nchini.
NESTORY JAMES ana taarifa zaidi kutoka Dodoma.
NESTORY JAMES ana taarifa zaidi kutoka Dodoma.