MTOTO WA SHEIKHE ( Ep 1-10)

preview_player
Показать описание
#Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#

⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!

For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wakwanza Kutoka Kenya, nipeni likes zangu

solomonamircomedy
Автор

Msumbiji tumeipokea kwa mikono miwili Ep 1-10 🔥🔥🔥🇲🇿

BabaSumaya
Автор

Naipenda sana hii series inafunza sana hogereni sana timu bhailam kwa kazi nzr❤🎉

mohammedkidody
Автор

Bahilam unaweza brow ukosawa napenda sana

HamisiKamata-kq
Автор

Naomi mpk waniliza umeweza pati yako dadaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

HabibaAthumanMwaboko-vqqk
Автор

Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤😂😂😂😂😂😂

Jaydannychawaboy.
Автор

Bailam unacheza POA tosha kabisa wacha comedy za Steve mweusi endelea na naumi pia akita mzuri na washirika wote niwazuri sana I loved this movie 🇺🇬🙏

abdulshego
Автор

Bailam usimtese Naomi ni mke mzur sana

SleepyCupcakes-dgot
Автор

Naipenda hiki kipindi sana naumi nakupenda

JosephineMomanyi-jptv
Автор

I'm watching from Burundi Country 🇧🇮 😍

SkaterTravellerWorld
Автор

Kiupande wa maria sijapenda unavyovaa kwa hii move

HabibaAthumanMwaboko-vqqk
Автор

Mbna Shetani hajatoa jamni 😢😢nimemiss 😔😔halafu Naomi wewe……….

SaumuJumwa-uv