Aslay - Totoa ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
Aslay Totoa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukijifungua dume ntachinja jogoo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo
ILA HATA UKIKOSA, MI BADO NI WAKO

3 times my wife went in and came out alone. Today we have two beautiful babies. It takes a real man to still love and stand by her woman during this difficult period. Kudos Aslay. Huu wimbo umenikumbusha mbali.

fredrickmwanjulu
Автор

Salute!!!!
Ukijifungua dume ntachinja jogoo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo
Ila ata ukikosa me bado ni wako AMEN!!!

kevinngugi
Автор

Tunakupenda sana Aslay. Mwanaume Romantic Africa huyu sana . ASLAY NDIYE KING. ❤❤❤❤❤

marylangat
Автор

❤❤"kapambane na matusi wanayotoa manes ww usiwe mbish jikazee"😭😭😭😭😭😭

biumohd
Автор

This song reminds me of my journey with my Baby mama, Even though we're no longer together, I respect Her so much.

japhethkamau
Автор

My son if now 1.6 years old. I remb everyday after work dedicating this song to my lady. Alizaa dume nikamchinjia jogoo. Glory to God

gladiatortv
Автор

Hii nymbo iko vzur...na inawagusa weng Sana, mm nikiwa miongoni mwao, keep it up Aslay.

malikikatundu
Автор

ewe Mwenyezi Mungu naomba uzidi kumfanikishia talanta yake Aslay, E.A sweetheart 💞.Bless his family and protect him always Oh God.And In your Holy name I pray and believe 🙏🙏

Aslay, I love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..All the best big Brother♥️

empressdamahshow
Автор

Aslay ni moja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi sana, mziki anauweza na ana kipaji kikubwa. WIMBO MZURI SANA

rosemarymngovo
Автор

Aslay...if you are seeing this....nauchezea wimbo huu mke wangu sasa hivi ako hospitali kujifungua....God be with her

Ronaldo-gg
Автор

Wapi like za aslay dogo unapendawa sanaa mob love from 🇰🇪😘😘😘

lilymummy
Автор

ngoma Kali haina matusi inaleta faraja kwa mama wote big up dogo unaweza hakuna hata alokuwa uchi ee mwenyezi mungu nijalie nipate mimba nyingine tena siku ya uchungu kupitia wimbo huu nitajikaza japo uchungu unauma mungu awe nawe aslay

agnessjohn
Автор

Safi sana ASLAY kwa kuwapa heshima wakina mama duniani..big up

ntusoeliah
Автор

Tears all over, this song inspires me to love all women, respect to my unborn child, to my lovely wife and my mom!!! Love you much!!!

timothywabwile
Автор

Creativity at its best. Hongera kwa wamama wote hapa duniani. Keep it blazing Dogo Dingi

febbrygryphyth
Автор

Kijana uko vizuri sana 💥👌 gonga like kama unamkubali asley

alinoor
Автор

i love the part "hata ukikosa mm bado niwako" such a beautiful en encouraging word for those who are barren en having miscarriage🙌😘😘

davinaaziz
Автор

Kama unatambua mamako gonga like apa💖... A MUM IS EVERYTHING 😪😪 👏

juliemsupa
Автор

"umenikumbusha mbali saana, nmemukumbuka mama, kumbe alipata taabu sana, kunizaa mwana" Kama unamkubali Aslay gonga like apa

musicpeoplecaraudio
Автор

I always say, Aslay is the most talented in Tanzania.

Kenny-uz