AMRI KIEMBA ACHAMBUA MCHEZO WA SIMBA VS YANGA/YULE AZIZI KI NI BALAA/SIMBA WALIKOSEA HAPA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

👏👏👏👏 umechambua kiufundi sana!! Much respect broo Amri kiemba

ramadhanamir
Автор

Unafaa kuungana na A Mayayi na A Kamwe kuchambua mpira kaka

Nazareth
Автор

Fc kubana pua wanafikiri mpira ni maneno ya kwenye khanga. FC kubana pua wanapenda kuongea mipasho, wanafikiri kushinda game ya bonanza ndio kuwa na timu bora

drvaxminja
Автор

Makolo haiwezi yanga bunyerofc watafungwasana

yusuphjilala
Автор

kiemba n moja ya wachambuzi bora kwasasa hapa bongo, unayozungumza mara zote yanaukweli

jemadarimimi
Автор

Hatunaga hiyo moja banah Ni 4-4-2, 4-2-3-1 etc.

allymohamed
Автор

Nakumbuka Kuna siku ulihojiwa, ukawaambia MAKOLO kuhusu UANGA na Aziz ki KITAALAM, MAKOLO walikubeza sana, Leo yaleyale yametokea na Hatimae MAKOLO WAMEIKANYAGA...!

ismailmasoud
Автор

Clouds hakuna wachambuz kbs kuna mashoga tu yamejazana pale na nyie ndo mnaowafungisha simba mnawacfia mpk wanakua vichwa maji juz tu apa mliwasifia sana

masoudkipara
Автор

Huyu JAMAA ni neutral licha ya kwamba kimpira alichezea Sana young African

ALIMOHD-bklr