Mayut Wa Today - Danito

preview_player
Показать описание
INTRO
Thz is DANITO
pon New Globe Art Factory yeh yeh yeh
Hii ni ya Ma yut.....

CHORUS
Mayut wa today
Eh ah
tunapata shida tele
Eh eh
Mayut wa today
Eh ah
mateso ni daily
No no....*2

1. 2na blame hi system ju imeja mabuda
wataki twende mbele siku zote nyuma
lawama 2kibeba visu na michuma
kubaguliwa aki ya nani inatu uma
2kipanda 2na rudishwa under
wataki jo tuuze ata nyanya kwa vibanda
Gava siku zote kazi yao kutuhanda
woi jo Mayut ni wapi 2taenda

CHORUS

2. Ati wanadai c ndo leaders wa kesho
lakini hawajali 2kipata mateso
hi generation 2naumia bana
kuchorwa SOJA lazma kujuana
wazee wa vijiji ni wachokozi
kuteka jo viwanja za kupiga zoezi
kupigana tuna chochwa na viongozi
si wengine ni cc 2 ma yut

CHORUS.

3. Kumeza Junky ni cc vijana
ju ya dimanga ma yut wamejaa
cheki Langata vile wengi wamedai
kamiti ni Ratio ya mayut iko high
wamesoma lakini hakuna kazi
wasani cku izi majambazi
ju kwa radio hatupati jo nafasi
woi jo mayut ni wapi tutaenda

4. Di yut of 2day, di yut of 2day
we under heavy heavy manners yeah
I went downtown fi go buy news paper di price adi paper mek mi shout a loud cuh dis yah judgement time.

OUTRO
Mayut wa Nairobi
Mayut wa Nakuru
Mayut wa Mombasa
Mayut wa Kisumu
Limuru, Kericho
Muranga na Nyeri...
Theka, SHANTIT,
MUOROTO na kwetu MATHARE....
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ni 🔥 🔥 🔥 bro lazima tuskume talent always on my Playlist

vdjprophet
Автор

Tuko mombasaaaa lock na baruty 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕Big hit danito #001

lewismugo
Автор

Best video and nice song big up danito

marysheemrasta
Автор

Think are not change tuwaambie aje watusikie
#big up

krugermwise
Автор

Standup yutman Ngoma imewaeza ndugu bigup

brian
Автор

Nimeletwa hapa na rapture the scientist

shagalaalex
Автор

Boomayeee Mr Director 🔥🔥🔥🔥Mc Duclan was here 🤘

mcduclanbruce
Автор

Bigup Msanii wetu Danito, Kiki na crew yote for making this happen. Video safi, ngoma noma!!

TheJeffa
Автор

kiki kazi safi
Danito hata wacha nisiseme

frednixonakhonya
Автор

DANITO respect man ... #Mathare talent tunayo..
Pang Pang Pang !!!!

Man Danito big up

dannymbenza.M
Автор

Big tune. Keep up with the good job rasta.

raphaelotieno
Автор

wasanii wote wa mtaa big up yahself..awouh....

joelingo
Автор

This Song was sang 8 yeaars ago but it's depicting the real picture in todays Society. Nkutuff

MaxwellKoech._
Автор

Mad tune.. Message of today..its real.

dylandinda
Автор

shida tunazipata brathe, BIG UP BRATHE

rosickymuchiri
Автор

Bro, i love this 💯💯✔✔ much respect from Texas...

MykeBravo