BABA LEVO:CHANZO CHA SHILOLE KUACHANA NA UCHEBE/

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hahaahha "bora amalizane nae moja kwa moja" wewe sio MTU mzuri😁
Kila interview yko naandaa mbavu😂

Blackie_blackie
Автор

Eti akinipiga nakimbilia police kumbe mdomo wote huna nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣

fatmaahamad
Автор

Kaka mbaya huyu tena muuaji kuchukua mke wa mwenzie ni kweli unatembea nae unavyofurahia unapata faida gani

stainasimkoko
Автор

Yaan huyu jamaa mm nashngaaa ana moyo gan kukaa na mke wa mtu usiku wakilewa

juxjemc
Автор

So nice baba levo it's too bad mwisho mwanamke mpambanaji anaaga dunia kisa kupigwa eti, watoto na kazi zake kwa jamii ndio muhimu kwa sasa, that's all

denicelinda
Автор

Baba levo acha upuuz ndoa nikitu chathamani acha kumpumbaza kwakupenda vyabure inaelekea kabisa.umechangia ndoa kuvunjika chunga mdomo nachagua vyakuongea usiropoke

nazmaabdullkarim
Автор

Pua ksms gari lile la mapua ya zaman yale

stainasimkoko
Автор

Huyu Umbwa Anafurahi Ndoa Ivunjike Thoba😏😏😏😏

mamuliciosrajab
Автор

Huyu baba levo msema kweli huwa ananipa raaah

dianamalingumu
Автор

Tena mimi bondia uchebe amshughulikie huyu bwege

stainasimkoko
Автор

Mtu mwenye akili na familia unaweza sema hivyo

stainasimkoko
Автор

Kuusu uchebe na shilole Ni we baba levo nakumbuka tukio la manyovu lamwamke alio chepuka ulikula ela ya mwanamama ukitishia kumuambia mumewe

haruniathumani
Автор

Sasa talaka rejea nayo ina sheria yake ikiisha muda bila kurudiana bas uchebe atamuoa tena kwa kufuata sheria zote za ñďò

nasmafarmsltd
Автор

Leo nimekuwa wa kwanz ku comment naombeni like

gastonnkyami
Автор

Anajiamini saana kuiba mkee wa mtu wstakuchemshia dawa yako

stainasimkoko
Автор

HV una familia wewe, namuonea huruma ushawishi mbovu acha alilie hizo talaka 3 IPO siku atajuta.

esthergasper
Автор

Nasubir C0mment za wengn,
Yang mach0 tu, , ,

georgespenser
Автор

Yaan huyu jamaa mm nashngaaa ana moyo gan kukaa na mke wa mtu usiku wakilewa

juxjemc