Iringo Advent Choir - Nimegundua Siri

preview_player
Показать описание
Artirst ; Iringo Advent Choir Tz
Audio : Cana Media
Video ; Hope Media Mara Conference
Director; Marcozaky
Composer ; Erasto J Ondego

@youtubecreators @IringoAdventChoir @hopemediamaraconference
@HopeChannelTanzania @heavenlyechoesministers @thelightbearerstz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ninatamani niipate namba ya mtunzi wa wimbo huu, na mcheza kinanda niseme nao jambo juu ya wimbo kwa nyakati hizi na hasa vijana.

dreamsuccess
Автор

Hapo kwenye kapart hako " japo pepo kali zitavuma, mimi mimi Mimi, mimi niko juu ya mwamba wala sitayumbishwa...patamu sana hapo ndo pana miondoko yote.

dreamsuccess
Автор

Huu wimbo ulimkosha abiria mmoja niliyempakia kwenye gari langu akalala na kukoroma kabisa nilipopaki gari akaamka na kushuhudia mengi juu ya wimbo huu, ni mzuri sana unavutia wengi na kila mtu ana kasehemu kake.

dreamsuccess
Автор

Kweli nimegundua siri shetani hawezi tena kuniyumbisha mbarikiwe sana

KasikaKariba-vbcx
Автор

Wimbo unagusa moya wangu mwalim hongela sana uzidi kuvuviwa Zaidi nikiwango chajuu sana wimbo huu

ZakariaKanu-weho
Автор

Hako kakijana kameupendezesha huu wimbo, kameonesha hisia zake kwa tabia zake bila unafiki, wenye kumind nawamind tu, message sent and delivery. Nimeunyonya wimbo huu, kuusikiliza kwenye gari langu mpaka unichoshe. Unaondoa stress hata ukiwa chumbani unaweza kucheza kidogo. Mmeufurahisha mtima wangu mbarikiwa sana.

dreamsuccess
Автор

ujumbe ni mzuri sana, Mungu awazidishie

elikanaobadia
Автор

Ninamuomba MUNGU wa mbinguni Kama mlivoimba hata pepo Kali zikivuma kuwayumbisha kwenye utumishi ibaki kuwa kweli kuwa mtasimama imara nataman iwe kwaya ya mfano yenye vijana wengi idumu milele mpaka yesu atakaporudi, Neema ya BWANA Wetu yesu kristo uwe pamoja nanyi.
Amen.
Very powerful item.

pastoradamgospeltv
Автор

Wimbo makini sana...
Ninegundua siri makini sanaaa..

Mungu Awabariki sana mfike mbali..
Pia nimefurahi kumwona madam Dinna

mjungumseru
Автор

Mungu awabariki sana
Songa mbele Gideon-Ikizu H/Sch.

GideonMarengo-cyin
Автор

Ubalikiwe mwalimu wetu nawaimbaji mnatishaaa Amina moyo wangu unabalikiwa

MajaliwaVicent-vl
Автор

Wimbo mzr sana na mmeutendea haki katika video hamjazubaa 🔥🔥🔥

charleschambua
Автор

Mkiendelea hivi, accacia, na punda wao watakimbia tu, mko kiwango sana, binafsi niliwaona nawakubali hata mtaifanya Musoma ijulikane sana. Namwona hata shemeji Magreth yumo, nyamtondo makesi, kabinti ka Obure, mko safi sana. @ Makoba nawakubali

dreamsuccess
Автор

Amen 🙏, Wimbo mzurii sana umenibariki Sana, Mungu Azidi kuwabariki,



Nanofilter water filter innovation technology safe and clean water for all!!!

sunrisetv
Автор

Next level music...utulivu wa uimbaji ..kiwango kikubwa cha roho mtakatifu ndani ya wimbo..Nguvu ya kuelekeza watu kusonga mbele..wimbo bora kwa wakati sahihi..God is faithfully..

phanipeter
Автор

Wimbo mzr Sana, nishauri kuweni watulivu msipende kumachi Sana kanisana huwa mnatulia Sana ujumbe unakolea kwa msikilizaji mbarikiwe.

esterfrancis
Автор

Napenda sana ur songs. May God bless u. Salimia zakayo sana . Hope mtarudi kenya tena

priscillahotieno
Автор

Wat a blessed song, every day and then I keep listening to this song, God bless you all as you prepare many souls, so that they will with our Elder brother when he will be back to take us home, 🙏🙏🙏🇰🇪🇹🇿

paulwafula
Автор

Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awabariki mfike mbali❤

charityngenzi
Автор

Hongereni kwa wimbo mzuri wa kumtukuza mungu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

manyamalabani
welcome to shbcf.ru