HAKUNA HAJA // MSANII MUSIC GROUP

preview_player
Показать описание
Join this channel to get access to perks:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kuna hii part Kelsey anaimba inanigusa ki vingine;
Vumilia kidogo, Bwana atatengeneza njia,
Jicho lako na moyo wako visitoke kwake Bwana,
Utembeapo, uzungukapo yeye awe kinga yako,
Ni mfariji Bwana, tena mtetezi wetu,
Hajawahi shindwa Bwana, kimbilio letu yeye,
Hakuna haja🙌

joskyshams
Автор

My dad after he first recovered from this terrible disease that he has, used to listen to this song word by word. Now that he is at his weakest in his hospital bed, I am playing him this song with the hope that it will remind that God loves him.

abigaellelei
Автор

Huu wimbo n mm unaongelelea walai my situation right now but nmetiwa nguvu Na huu wimbo be blessed msanii ...sikatii Tamaaa Sasa ...kW huu wimbo nmesonga mbele Sasa hakuna haja ...I have been praying so hard but Bado napitia magumu but sichokii kuomba pia sikatii tamaa 😢

EuniceNjeri-sq
Автор

Mbona sauti ya Kelsy inanituliza hivi. Mungu ni mwema lakini. Man am loving this song

jacktonnyamora
Автор

Am a Catholic but l like this songs ❤❤

MuyamaCatherine-yz
Автор

OMG the first soprano, looks like a young girl… Her voice is so undiscribably beautiful … it just comes out naturally. I never saw her leading in any song… a hidden jewel has just been unearthed.
The 3rd soprano is also amazing including Victor’s. Outstanding for me is this ‘light-skinned bearded’ brother… his voice OMG! So smooth so amazingly so strong yet soft and his body movements are sooo with it👍🏽
And Bra Joe’s voice blends so well with this brother’s with diamond shapes on his jumper. Sorry don’t know all the names.. This is one of my favorite hits… like really a favorite ❤
Australian South African Fan…love you guys..

tojomusi
Автор

Pr Francis Mbithi promoting this song through Radio wikwatyo fm 105.3. i just love you guyz, nawapenda tu. do Gods work. kila siku lazima nicheze wimbo wenu kwa kipindi changu.. from 8pm -10pm. god bless you

francismbithi
Автор

Another hope for me.... hakuna haja, vumilia kidogo

norahtuwei
Автор

Wooow! Another one imefika kwa mpigo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥MUNGU ana makuu ya kutufanyia tusikate tamaa hakuna haja, Barikiwa Sana kwa bidii hii ya safari ya kwenda Mbinguni 🙏🙏

Esther-Bri
Автор

Msanii mungu awabariki sana, sitakata tamaa nitavumilia, hadi mungu anitendee.Amina

dorcaswafula
Автор

Hakuna haja yakukata tamaa♥️🙏🏽🙏🏽🙏🏽 vumilia kidogo☺️

LilianKiruiMusic
Автор

Ooh kwakweli ninashindwa hata niongee nn jamani kwakweli ninafarijika sana nabarikiwa sana sana 🙏🙏 ninapo ona na kusikia nyimbo zenu kwakweli, big up, karibuni sana Zanzibari 💯👏👏👏👏👏

rachelshaban
Автор

Still here.... 2024 mapema mapema😊😊a great year indeed #hakuna haja ya kufa moyo

annemumbua
Автор

Aki nyimbo huu unanipea matumaini🙏🙏🙏 amen

OmondiPhelix
Автор

This is truly encouraging me to soldier on even when the Economy is totally unbearable, No Work, the Much we make can not sustain us… But No Reason to Give up.

Seth
Автор

Usijefika mahali na kukata tamaa na kukuona haweziiii..Mungu atupenda sote 🙏🙏🙏

puritymutua
Автор

Lemme not forget the dressing code which is mwaaaah, so lovely 🌹

franciekogei
Автор

Amina MUNGU awabariki kwa huduma nzuri

RobinaJohn-glrq
Автор

I am an Anglican but this Songs are lovely

Winfridahlelei
Автор

Joseph njane be blessed ilike your voice ♥️♥️♥️♥️

stephenolali