Above All (Swahili Cover) - Juu ya Vyote - The Scales TZ

preview_player
Показать описание
Follow us on Instagram @thescalestz

Lyrics

Juu ya nguvu zote
na falme zote
Juu asili yote
Na vyote viumbwavyo
Zaidi ya hekima
Na njia zote za watu
Ulikuwa hapa
Kabla vyote kuwepo

Juu ya falme zote
Juu ya enzi yote
Zaidi ya yote
Yaliyojulikana....!!!!
Zaidi ya utajiri"
Na hazina ya dunia
Hakuna namna
Kufananishwa na chochote

Ulisulubiwa
Uliwekwa nyuma ya jiwe
Uliishi kufa
Na Kukataliwa
Kama rose
Linavyokanyagwaa aah !
Ulienda chini,
Ukanifikiria mimi
Juu ya vyote
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Very good music to listen, keep it up

elizabethmasolwa