CHIDBENZ: DEMU WAKE, NAMPENDA/ LAVALAVA, UNASAGA/ WASITUMIE

preview_player
Показать описание
Rapa Chid Benz ametoa ushauri kwa wasanii na jamii ambayo inamfuatilia kwa karibu kuwa wasijaribu kuingia katika dimbwi la Dawa za Kulevya hapo baadae na kama kuna ambae tayari ameanza kujihusisha na mambo hayo basi ajitahidi kuacha kuishi maisha hayo isije kuwa tatizo baadae kwenye maisha ya mbeleni.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hata kama unauza machungwa tuu pamoja Chidy🤣👍🏾gonga like basi😉✅

sultanalnaamani
Автор

king Kong amebaki shati tuuu mwili wotee out, but kam unaamini chidy alikua anajua kichizzz now anazingua, gonga like 🔥🔥

handromedia
Автор

Tulikupenda ila Bangi imekupenda zaidi na sisi hatuna

ezapesambili
Автор

kabaki kichwa jaman kama unaamini gonga like hapa

directorpizo
Автор

Kweli chid benzi, km umeacha kutumia hayo mambo Mungu akutangulie.

franciskamashamba
Автор

Kabisa hata ukiuza machungwa sis na wew tuu

moussabumbor
Автор

Sna chid benz nakukubali sana kazi zko nimoja ya wasanii pendwa sna bless up bro

officialBabar
Автор

much respect Chidy najua uliteleza tu glad kama unarudi kwenye form na kujielewa lkn kusimama bila aibu kuwaasa wengine wasitumie poda MUCH RESPECT..infact wanokuongelea wanakuongelea sababu kuna kitu ulifanya kikakufanya kuwa Chidy notable so maneno yasikusumbue

eventelias
Автор

Dah ...unga si sembe ...dude baya sana ..Mungu atuepushe na amsaidie Chidi..

badmanno.
Автор

Kweli maisha acha ya itwe safar. nakumbuka Basta ryms alikuja akamuona chid kingkong ana piga free style stage alikua bak stage ikabid Aje achungulie akauliza huyu Ni mtanzania watu waka mwambia ndio had ana ondoka hakuamin kama chid Benz mtanzania kwa jins alivyokua ana chana. had Sasa Bado sijaonaga mbadala wa chid Benz wala ngwair

nazarethkaanani
Автор

Maskin chidi😭😭😭😭😭😭😭 vitu unavyoimba vimejaa unga ulielewa vibaya kale kamsemo kazi na dawa🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

enosmchomvu
Автор

Kweli mzee baba shabiki zako hatukuachi tuko pamoja nawe siku zote

ebisalum
Автор

Huyo sio Chid Benz bana tuambieni chid benz alienda wapi king kon'g original

KubwaStudios
Автор

Chidi benzi we miss you kweli tutannuwa ata machugwa lkn uzindi kuacha wallah nilikuwa napenda goma zko kweli

mwanaishambili
Автор

Chidi Benzi tulikupenda lakini madawa ya kulevya yame kupenda zaidi!!

rojakijana
Автор

😁😁😁😁Huyu ndo alo hambiwa ata pata taabu sana😁😁😁 Bangi sio nzuli jamani mwisho umekwisha #Chidbenz

youngkillermsodoki
Автор

Dah nikwere. Ila chidi namkubali sanaaa

ods_zauakikskipenga
Автор

Kashaur lakini msitumie, , , na hata upotee miaka mm ukirud nmo tu am ur fan

tabithachacha
Автор

Nimejifunza kitu kutoka kwa Chuma! Unaenjoy life kwa vitu unavyovifanya sasa hivi bila addition ya addiction yoyote!

dtejoz
Автор

True Chidy... Ata uuzee machungwa tutanunua tu

raymondmboro