Mjamzito Uhudhurie Kliniki Ya Ujauzito Mara Ngapi? | Kipindi Chote Cha Ujauzito!!!

preview_player
Показать описание
Kliniki ya Mjamzito mara ngapi,Uende Kliniki mara ngapi? Kliniki ya Ujauzito, Kliniki ya Mjamzito, Kliniki katika kipindi cha Ujauzito, Kliniki ya Mjamzito na Mahudhurio yake,Lini uanze Kliniki ya Mimba,Kliniki ya Mimba miezi mitatu ya mwanzoni, Kliniki ya Mimba miezi mitatu ya Katikati,Miezi mitatu ya mwisho wa Ujauzito, Kliniki ya Mjamzito mwenye Virusi vya Ukimwi,Kisukari, Kliniki ya Mjamzito mwenye Presha ya Ujauzito na Dr.Mwanyika

Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii

Uchungu wa Uongo kwa Mjamzito!

Unaweza kujifunza masomo kupitia Instagram

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

#KlinikiYaMjamzito
#drmwanyika
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakupenda buree doctor!! Mafundishoo yakoo mazurii sana!! ❤❤❤

estermpare
Автор

Dokta nina ujauzito wa wiki 34 lakini napata maumivu makali ya tumbo, kwenda haja kubwa zaidi ya mara 2, mgongo kuuma, uchovu uliopitiliza pamoja na kupoteza hamu ya kula..naomba kuuliza kama ni dalili za uchungu au ni hali ya kawaida??

norahmariwa
Автор

Habali Yako doktali Mimi ni Mjamzito ila mwaka huu nimejifungua mtoto amefariki tumbon akiwa na wiki 31 nimejifungua mwez wa 6 huu 8 nimebeba na tatazo lilosababisha ni pressure je aitokuwa na shid yoyote na kriniki nianze lin

mariamhossen