Binti KIZIWI Asimulia YOTE, Alivyobeba MADAWA, JELA China, PENZI la Z Anto - 'SITASAHAU'

preview_player
Показать описание
BINTI KIZIWI ASIMULIA YOTE, ALIVYOBEBA MADAWA, JELA CHINA, PENZI LA Z ANTO - "SITASAHAU"

GLOBAL TV imepiga stori na Muuza Nyago kwenye video za wasanii, Sandra maarufu kama Binti Kiziwi, ambaye amerejea nchini miezi michache iliyopita akitokea jela nchini China alipofungwa kwa zaidi ya miaka 7....

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)

( +255 676 229628)

HABARI MPYA DAILY:

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:

GLOBAL RADIO TV:

EXCLUSIVE INTERVIEW:

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jela za wenzetu nzuri, huyu angekuwa Segerea angerudi na ukurutu wa kutosha na si kama hivyo alivyonona

mkinalagekinoga
Автор

alichonifurahisha sandra yupo so transparent hapindishi pindishi like kama na we umemuelewa

yusuphmkenza
Автор

Kama Unampenda binti kiziwi gonga like hapa... Mashaallah mzuri, Luv 4rm 🇰🇪

xipizrb
Автор

Kama umegundua Binti Kiziwi sio kiziwi gonga like

darmillionaire
Автор

Nimefurahi Sana kukuona dada Mungu ni mwema mwingi warehema

veronicadaniel
Автор

Pole sana binti KIZIWI wetu MUNGU mkubwa amekujaalia umerudi salama Amin🙏🙏🙏

hamisisha
Автор

We are very glade to have u once more in our mama land, a land of hope, peace and social home!!

zacharialameck
Автор

Pole sana binti kiziwi
Tunakupenda sana🇰🇪

btuama
Автор

Nimependa interview, bint Sandra now amekuwa na anajielewa sana, amejibu maswali vizuri sana

rajabukulala
Автор

This girl is so pretty omg welcome home and God will bless you forever it was a only a mistake

amellogoddess
Автор

Really appreciate her humility.
She's learned her lesson.may society kindly accept her.

stevieslik
Автор

Kiukweli bado ni mzur utafikir hatoki gerezani Bint kiziwi❤

malaikakarim
Автор

Piga like kwa binti kiziwi kapendeza mno. Asante kurudi ukiwa mzima

kennix
Автор

Kama umesikia binti yako nimwanaume nipe like

swalehejeilani
Автор

Kama umempenda binti kiziwi kama mm like mtoto mzurii masharalah

shukurumgaya
Автор

Alikuwa mfungwa lakin amejifunza kushona nguo
Safi sana
Tz ni kufanyishwa kaz ngum tu

ummutaswaufi
Автор

Pole sana mpendwa wetu ndio maisha jifunze kwa mazito unayopitia.pia toa elimu kwa wasiojua

ashahamisi
Автор

i love this women shes very cute and she tell the trueth

audacejames
Автор

Kama unamkubali alivyo transparent gonga like twende sawa

mimmosaf.a
Автор

Mtangazaji unaongea sana kuliko mgeni wako. Journalist unatakiwa kuwa chini ya mgeni usimfunike na usimtengenezee majibu. Unaongea sana dada. Hii interview siyo professional.

joycedivinegrace