BABA LEVO Ajibu HOTELI ya DIAMOND KUUZWA, Ampigia MHUDUMU wa HOTELI LIVE...

preview_player
Показать описание
BABA LEVO Ajibu HOTELI ya DIAMOND KUUZWA, Ampigia MHUDUMU wa HOTELI LIVE...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

global andikeni vichwa vya habari sahihi,

clintonmfugale
Автор

bakukubali sana baba llevo mi shabiki wako ndakindaki

robertmwanandenje
Автор

Kwanini Mnapenda Kuandika yasio Zungumzwa. Wapi Kaongelea Mambo ya Hotel kuuzwa. Kuweni makini na Vichwa vya Habari.

aaasa
Автор

global mmeweka title siyo na kilichoongelewa ndani ya interview

clintonmfugale
Автор

Nyoo ndio mumepanga mpigiane sim🙄 Ila huyu kaka anamhahoo kweli kweli😆😆😅 anajitahid kutuaminisha kwamba anapesa nawakati Hana 🤗🤗

mwannerajabu
Автор

Kabisa birakuwaonesha kwavitendo haomashoga kina mwijaku na H mama hawawezikuerewakabisa simba ni birionea 🤒🤒🤒💪💪

jimyjastini
Автор

Bigi inabid abadilishe chawa, , B level hajui kudanganya kabisa

agustinojoseph
Автор

kweli ukiwa muongo jitahindi kuadika, tunataka dege

cesiliamwapinga
Автор

Mimi waga nacheka ninapomuona baba levo na H baba juma lokole na Issa azim na mwajaku🤣🤣 sema kiboko muongea ukweli waga Ni HBABA peke yake

elvisoscar
Автор

Fala kwer kama umempanga ndionin chawa bhana

adamabdullah
Автор

Hiyo cm ni ya uongo. Kingine Levo hajitambui maana huongea kitu kisicho na uhalisia, pia Kama ambassador hawezi kujidharirisha masuala ya mchepuko Kwa media vp mkewe?

issaidrisamusa
Автор

Yani wewe babu levo unasifa hadi mdomo mzito sijui wajili yamsaada nawewe muadishi Icho kichya chabali nahayo maongezi yanaendana au mmekutana nzi wakijani na kunguni mmoja kaona mzoga na moja kaona godolo chafu mnalopowana2 hanahakili nyote

husnamanase
Автор

Niandalie kimoja ninakuja na mchepuko.

arqamibnarqam.
Автор

Kumbe ni ya michepuko kama za uswahilini!

johnmichaellukindo
Автор

Wacha kamba zakoizo watu wameelimika uwongo wenu umesha gonga ukuta

kngshassan
Автор

huna lolote wewe umempigia ulie mpanga

azizaidi