KOCHA WA NAMUNGO FC HEMED MOROCCO BAADA YA KUPIGWA 4-0 NA SIMBA

preview_player
Показать описание
Simba SC Leo baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Namungo FC katika kukamilisha ratiba ya mchezo wa Ligi Kuu leo walikabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa nne mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2020/2021.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lakini sikupenda kuona timu yetu ya Namungo ikiadhibiwa bila sababu.

loishiyesamwel
Автор

Kocha uwezo hamna ndio maana hata shirikisho mmetia aibu

husseinkonz
Автор

Quality ya wachezaji imeamua mchezo na mchezo ulikua mzuri sio vibaya kumsifia aliye kushinda bila kutfta kichaka cha kuficha udhaifu wako hongera kocha kwa kua mkweli

mursallusinde