SIRI YAFICHUKA KUUSU CLOUDS NA DIAMOND KARANGA YAJUE HAYA MAPYA

preview_player
Показать описание
SIRI YAFICHUKA KUUSU CLOUDS NA DIAMOND KARANGA YAJUE HAYA MAPYA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

acheni usenge kumpatilia diamond anapiga kazi fanyeni nanyie

jofymwaijofymwai
Автор

Isiwe kesii Kama karanga sio za diamond OK kuanzia Leo sinunui Tana ilaa hata ukijaa na diamond maandazi me nitarudi tenaa kununua
Amuwezii kumpoteza huyuu kijana

christopherninde
Автор

huyo Jamaa hawawez kumpoteza hata kama ila huyo ni myama mkali sana hafikii kiba hapo

chuganitv
Автор

Huu ndo ujinga, , shirawadu naona hawatumii akili maana kwa akili zao fup wanaona wanamkomo mondi wakati mwenye karanga aikoswa promo ymondi mambo yatabadirika, , , lkn pia mpigwe na moze alafu povu kwa mondi mbona mnachanganya mafaili?

hezemasurumbai
Автор

Siye karanga tutakula tu haijalishi zanani shida nini au ndo mnamrushia mawe dai yakushanye unjengee daranja kukuvusha usiogope kikumbwa mtangulize mungu mbele tu

zaituniyusuphjuma
Автор

yan nyie Chanel yenu ni yamwisho kupata habar

athumanikitogo
Автор

Clouds ni group la wahuni wasiojielewa..kwanza njnawasiwasi na elimu walio nayo

kileoally
Автор

Åpa ndo unaina manenoya bos salam yakweli kumbe lengo ni kumpoteza huyukijana 😆😆 hapa nimeelewa alimanusha nn

smartydavi
Автор

acheni kutufanya wajinga mtaji wa Karanga unahitaji tsh ngapi? Chibu ndo mpango mzima anaweza kuwalipa mshahara clous wote kwa miaka 10 wakae tyuu nyumbani wajinga nyie

raufuuledi
visit shbcf.ru