Jomireso voices Tz - Sogea (Official Video) 4k

preview_player
Показать описание
Artist: JOMIRESO VOICES TZ ( +255 765 766 438)
Song : SOGEA
COMPOSER: Majogoro
Audio : Pro EPHRAIM (+255 745 772 120)
Video : Dr. RJ (+255769 672 995)

HILO TATIZO SIO KUBWA

Usuluhishaji wa migogoro katika mwili wa Kristo ni muhimu kwa sababu kadhaa.

¶Kuepuka migogoro, bila jitihada za kutatua, kunaficha uhalisia na majibu sahihi na kueneza tatizo kulifanya kuwa kubwa zaidi.
¶Ikiwa Kuna makwazo yametokea Kati yetu tunapaswa kutoa nafasi kuzungumza mezani pamoja. Hii itatoa fursa ya kulimaliza tatizo*

¶Lengo la ufumbuzi wa migogoro ni *umoja*, na umoja katika kanisa huwa tishio kwa shetani.

¶Ukikaa na makwazo moyoni bila kukaribisha mazungumzo na ndugu yako, unaweza kudhani na kuliona tatizo hilo kuwa kubwa. Wakati kinyume chake tatizo hilo ni dogo sana likiwa mezani

¶Pia tunaambiwa tusiruhusu "mizizi ya uchungu" kuongezeka kati yetu, na kusababisha matatizo na uchafu (Waebrania 12:15).

¶ #SOGEA
kaa na ndugu yako meza moja, imba, farijiana nae #tatizosiokubwa
Zaburi 133:1-3
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Use your time to get close to someone you think you had problems with in 2022, talk to him, maybe the problem is not that big and it may end before the starts of another coming year.🔥❤️❤️

fortunatebayyo
Автор

Ooh my, haki huyu soloist is on another level big up sana.

AzenathAnyango-mf
Автор

Mmenifariji sanaaa, kwenye huu wakat huu mgumuuu, Asante Sana

annahmwakajumba
Автор

NAFURAH SANA KUWASIKILIZA JOMIRESO NANAMUONA RAFIKIYANGU WA PRIMARY HAPPINESS JOSIAH MPENI SSALAMU NAMPENDA SANA

LightnessKatety-hghz
Автор

❤jomireso for life one day nitawaona live na tutaimba wote mbinguni

upendoramadhan
Автор

Jamani mda mwingine unajiuliza uu wimbo walitungia mbinguni kabisa maana unanipa raha unanipa matumaini yakusogea tena Mungu awabarki sanaa

lucymgenhakikanimeelewamun
Автор

Mbarikwe sana VIJANA kwa ustadi ndani ya BWANA

yusuphkilinda
Автор

Sogea karibu nami, soooogea huyo jamaa wa mbele ameutendea kazi kweli kweli.

jovin
Автор

Message constructive sana ....hii ndo maana ya wimbaji, ,,nawapenda sana Mungu azidi kuwatumia

stephanyonah
Автор

i love you guys, May almighty God Bless you

kelvinmwakalebela
Автор

Aisee nyie watu mnabariki sanaaa. Mungu azidi kuwainua

samweljekonia
Автор

Dah well done my choir nakumbuka 2015 nikiwa mwimba wa Sayuni choir kutoka social nikiwa na mwal Adam mayunga

azariamaduhu
Автор

The lead guy sound likes that guy was Nyegezi.. one of the best and smoth lead i have heard so far so good.

joelriro
Автор

Nawapenda bure.karibuni Kenya#VoP Africa Sing To Save Season 3

oluochlawi
Автор

Nimebarikiwa sana na wimbo huu mbarikiwaeee sana

samwelmkilulu
Автор

Jmn MUNGU awabaliki sana mkae Kwa upendo mkiiba Kwa furaha ❤❤❤❤

JoyceMapesa-fc