Founder TZ - Nitatokaje (Official Music Video )

preview_player
Показать описание
Hello !! Amjambo Naitwa Founder Tz naweletea official video ya NITATOKAJE naitaji sapoti yenu ya kuniwesha hili nifike usisahau
#SUBSCRIBE #LIKE #COMMENT #SHARE Artist : Founder Tz
Song : Nitatokaje
Producer : Spadebeatz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Team gulf wenye tumekuja ku support huyu Dogo juu ana kipaji piteni na likes jameni🇰🇪🇶🇦

skmwenyewe
Автор

Kama unamkubali founder naomba likes yako pleas 🙌🙌 mungu akubariki sana mdogo wangu tupo nyuma yako

CheedMk
Автор

Shukrani sana kwenu maana sina cha kuwalipa 🙏🙏🙏🙏

FounderTz
Автор

Kila siku Bongo flava Ina wakuiendeleza much love for TZ

charlesmwai
Автор

Walio msuppoort mdogo wetu Mungu awabariki sana, much love from Kenya 🇰🇪

husnaarafat
Автор

Wakati wasanii wengine wanahangaika na Amapiano,
Dogo katuletea bongofleva Safi kabisa, embu tumsapoti🔥🔥🔥🔥

hydratz
Автор

Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ikishaitikia brother count yourself a celebrity already.guys let's support this massive talent 💥🏆

KravitzKenya
Автор

Kama huna mkubali huyu dogo kwa mziki wake weka like

MsMarry
Автор

This is another LION in Tanzania, keep going my son much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

marthanyabuto
Автор

Mpeni mauwa yake huyu dogo jamani, wimbo mzuri mno!Mungu akutangulie kwa kila atuw ya kazi yako dogo🙏🙏, this is a natural Talent 👌

wilaslupson
Автор

Nakubali Mdogo wangu, Shabiki yako namba 1 nakubali sana kazi nzuri endelea kupambana mafanikio ya Mziki yapo mbali Sana

ramadhanallygwajil
Автор

Mwanangu ushauri tu unakubalika na wakubwa kwa wadogo nyimbo zako zinasikilizika na rika zote.angalizo usipotoshwe au kuiga mashairi yasio na maadili nenda namwendo wako kama vile nitoke vp.we nimwanamuziki mzuri mungu azid kukuinulia kipaji chako.

JumaMartin-ev
Автор

Wa kenya kumbe ninyi ni wapenda maedeleo, , toka Congo DRC 🇨🇩 nime wa kubali, sapoti yenu kwa mdogo wetu ni nyingi sana, gonga Link apa wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

EddyEdgard-qd
Автор

Wanaobaki muda Kwa muda kusukia hii ngoma tujuwane love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

urugendorwubuzima
Автор

Ushatoka bro ...niko Kenya nasubiri🇰🇪#2023

robertsimba
Автор

❤❤❤❤❤ founder tz mungu akubaliki na akujalie uweze kuwa kama diamond kabisa yaan

ShamsaDavid
Автор

Talent from the street camp! MUNGU Hamtupi mja wake Mimi binafsi namuombea Sana huyu kijana MUNGU amuinue kipaji chake

iam_masasila
Автор

Simba plus konde boy pamoja, , , much love from Kenya, , , congrats younger BT talented, , keep it up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

ESTHERMUTHONI
Автор

Mombasa Kenya ndio daraja la kwanza la musiki wako mdogo wetu uko vizuri imepenya na bado chupa lina pasua anga Keep it up GOD bless your efforts kijana wetu EAST AFRICA to the world

sheilarehema
Автор

Founder tz .mshukuru mama kwa kulea ucjali maisha umnayoipitia kwan mungu anampango wewe kwa kipaji chako

JamimaZ