MWANZO MWISHO TAZAMA KIKOSI KILIVYOTUA KMC COMPLEX KUFANYA MAZOEZI TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA TABORA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kila la khery mnyama Simba sports club katika maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

iddiramadhan
Автор

Simba SC Tanzania Nguvu moja daima na wewe

adelikelivisadelikelivis
Автор

A❤❤❤❤❤mungu nimwema tutafungaa love you simbaaaa

Annaonesmo-xb
Автор

Mm nimefarijika sana kuona Awesu amesimamia misimamo yake na hatimae ni mnyama tutafute wachezaji wanaoipenda Simba kikweli hongera Awesu

Mufti-gx
Автор

I'm happy to see Air manula again, my home boy

princetongejr
Автор

Mungu walinde wachezaji wangu Simba nguvu moja

AnjelaMatiya
Автор

Thank you My God and namba one air manura👏👏👏👏🙌🙌🙌🙏💪🦁♥️♥️

GodfreyStanslaus-qbtq
Автор

Alhmdhulillah m.mungu ibariki team ytu ya simba msimu huu Amiin Inshaallah

Minjum-jm
Автор

Nampenda mnyama jaman ❤ Simba sport clab timu yangu nipe maufundi jaman mtaan utopolo wananionea sana

ElisanterichardMbwambo
Автор

Umoja wa wachezaji ndio muhimu, we want the 🏆

BrazaVille-wehs
Автор

Nawatakia kila khery mazoezi mungu awatungulie wachezaj wetu❤❤❤❤❤❤❤❤

ChristinaLazaro-oykb
Автор

Kama hujamuona frend usipite bil like hapa kama umemiona bas

rugaya_tz
Автор

❤❤❤❤🇨🇮🇨🇮💪💪👍💕 que Dieu facilite force à vous mes petits

MaximeKe-wz
Автор

Love ❤❤❤u chama langu pendwa mungu ibariki simba🦁

RashfatMorice
Автор

Happy aliyokuwa nayo awesu hpo halafu mumrudishe kmc hta ingekuwa ww ungekubal, , me piah ni bora nikavue samak😅😅😂😂😂❤❤❤❤simba nguv moja

LindaMbilinyi-nn
Автор

Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

WendeMposola
Автор

Welcome back Air manula, Ushauri wangu kwako uadilifu ofcini kwako ndo ngao Yako, pesa ni makaratasi lakini heshima Yako na legacy hubaki milele, ulikuwa na jina kubwa sana na thamani Yako ilipanda sana Africa mzima ulikuwa top 10 ya magolikipa Bora lakini mechi moja ilikuharibia na kukushusha thamani Yako yote, kisa pesa

thehustlerafrica
Автор

Mm binafsi nimefurah kumuona Manura akirejea tn unyamani❤🎉

HamidaShaban-ju
Автор

ALLAH kwanza mnyama ubaya ubwela uxhind milele lnnsha ALLAH

lawyixxa
Автор

Tuliofurahi kumuona Air manula mazoezini tujuane kwa like hapa. ❤SSC #ubayaubwela

AugustinoNgereja