MZALENDO- NASOGEA GOLIGOTA

preview_player
Показать описание
Sio kweli kua sina watoto, mke wala wazazi ambao napaswa kujiuliza ntawaachaje nikiondoka wapo na najua watapata taabu zaidi lkn kwa ajili ya Tanzania yangu sinabudi kujitoa kwa lolote lile liwalo na liwe.
Nikifa kwa ajali au ugonjwa kitakua kilio na huzuni kwa ndugu na rafiki zangu lakini nikifa kwa kuitetea Tanzania kitakua kilio cha taifa zima la wapenda haki na amani alioiacha baba wa taifa letu Nyerere.
Kama tuaminivyo Wakristo bwana wetu Yesu Kristo alisogea Goligota siku kama ya leo kwa ajili ya kutuokoa sisi tupate kusamehewa dhambi zetu, basi nami pia nachukua fursa hii kusogea nae GOLIGOTA kwa ajili ya kuitetea Tanzania na kukemea maovu yote yanayoendelea ktk serikali hii ya awamu ya 5
MUNGU KAA NAMI MPAKA MWISHO
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

gonga like kama na ww umemkubali mzalendo 100%

meddybrown
Автор

WATU WANAPENDA VITU KULIKO WATU WENZAO!!! UKITHAMINI UTU KULIKO VITU UTAFIKA MBALI ILA UKITHAMINI VITU VITU HUISHA NA HUBADILIKA KILA nmekuelewa bro Umepaza saut!!! salute

mwidu
Автор

Mungu na akusimamie katika kila ufanyalo
Asante kwakuwa mzalendo Wa kweli
Mana umeamka na kusema ukweli uliokuwa umejificha
Wengi waliogopa ila wew umesena yaliyo ya kweli

thomaskangero
Автор

Jela kuna wanangu wamemic kapela kafugwa mandela sembuse me kapela! Big up mstali noma

salmaayubu
Автор

wewe ndo Mwanaume Sasa Mungu Akulinde Mpaka Chozi La Mwisho Tupo Nyuma Yako

kbdmsafi_tz
Автор

Siwezi kunyamaza nikiona unazingua duh !!!!nimepiga ngoma tokea asubui 🤘🏻🙏🏾🙏🏾

thebenzclassic
Автор

Revolutionary Hip Hop... hii ndo asili ya kweli ya hip hop, woga tupa kuleeee, wacha wabana pua hawa wapakwe mafuta na bashite

dprym
Автор

freedom fighter wee ndio simbaa kweli bro god bless you

Rastamuslim
Автор

Hii ndiyo yesu aliyo sema ukiwanyamazisha hawa yale mawe yatapiga kelele, Roma kanyamazishwa na Mungu kamuinua mwingine badala yake., na ndiyo hiyo Roma anapotea hivyo bora angebaki na msimamo wake ule ule.
Ongela sana kijana, yaani mpaka nimesisimuka mwili mzima kwa ujumbe ulio utoa.

audaxpatrick
Автор

Floor kali, mashairi makali yenye ujumbe Wa Ukweli....This is the real meaning of hip hop....Heshima yako kaka Goligota

hanifuamiri
Автор

Kaka mwenyez mungu akulinde sana maana umejitoa kwa ajili ya watz ambao wengi wao wameshindwa na kuogopa kusema ukweli! Mungu awe nawe kaka mzalendo

lutusammid
Автор

Uko vizuri sana kijana mzalendo, hata ukifa leo taifa litakukumbuka daima kama sanane. Kwenye kitabu cha historia utaingia

fredytarimo
Автор

Sijui nikuambie nn rafiki yangu, tunaitaji watu kama ww hongera mwanangu, naisogelea golgota

wasafitvonline
Автор

daaaah mzee baba sina cha kusema ila salute san acha na kina roma wazalendo hewa👊👊 ww ndo msanii wngu kuanzia sahv staki kiba wala mond

nurdeennassor
Автор

Eeh Mungu tunashukuru kwa Zawadi ya ufufuko wa BWANA WETU YESU KRISTO

teddiegillosa
Автор

Freedom fighter# kaka umetisha mzarendo tunasogea gorigota, sema nn wakituuwa wasiache kutupost🔥🔥🔥🔥🔥

harunfamily
Автор

God bless you brother Mzelando. ....Freedom fighter wetu...I cover you with the blood of Jesus

bahatidan
Автор

NYC job. asante kwakuzibeba saut za wanyonge ubarikiwe

kayombovincent
Автор

Lyricss mzee Baba, yan everything its Trueee axe iyo ndo Sanaa mze kazaa...

nzeyyunus
Автор

REST IN PEACE ROMA, STAMINA, FID Q AND ALL TANZANIA RAPPERS EXCEPT THIS DUDE.... HE IS A TRUE ARTIST AND BEST RAPPER

nyandonashon