Tuzo kwa Mchezaji Bora, Golikipa Bora, Mfungaji Bora - Dar Port Kagame Cup 2024 - 21/07/2024

preview_player
Показать описание
#DarPortKagameCup2024: Tazama Mchezaji Bora, Mfungaji Bora, Golikipa Bora, mshindi wa pili, mshindi wa tatu, timu iliyocheza kiuungwana na waamuzi walivyokabidhiwa tuzo zao na medali leo kwenye kuhitimisha michuano ya Dar Port Kagame Cup 2024

Red Arrows wametwaa kombe la Dar Port Kagame Cup 2024

Matokeo APR FC 1-1 Red Arrows(Pen: 9-10)

#KagameCup2024 #DarPortKagameCup #DarPortKagameCup2024 #KombeLaKagame #CECAFAKagameCup #CECAFA #Fainali #APRFCVsRedArrows #APRFC #RedArrows #APRRED
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤Mugihugu cyimpumyi
Ubona ijosho rimwe niwe uyobora

legendHD
Автор

Pole apr kwa kupoteza ila mko na timu nzuri

malietamaliet