MCHEPUKO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kicheche tunakukubali Sana 🇰🇪

Unafanya vizuri kicheche 🔥🔥

خسنموس
Автор

Mbwa huyu napenda jinsi alivyo muwazi🤣🤣🤣🤣🤣

Nafikiria kwa mfano angemdanganya kangefoka balaaa🤩🤩

masterlyrics
Автор

Kicheche mwenyewe huku Kenya tunakutambua🇰🇪🇰🇪

patoweelzy
Автор

Strong my G.. by Undisputed fleek boys dancers 🔥 unyama mwingi 💪

directorwakandadc
Автор

Kutoka Kenya fan mkuu wa kicheche wapi like 🇰🇪🇰🇪

able
Автор

Kutoka Burundi🇧🇮, kicheche, nafuta comedy zako 100%. Big up kbsa. Nakupenda sana❤

innocenthavyarimana
Автор

Hapo kicheche KAZI Iko sawa ukiwa na Jao wadada violet na queen tunawapenda huku Kenya tunawafatilia

iddjuma
Автор

Mimi ndo wakwanza..naombeni likes zangu..kwa mpigo..pia mimi napenda mchepuko

dishonmanyi
Автор

Nimekupenda kicheche Na comédie zako nimekufata toka Congo drc

felixmofya
Автор

Kicheche wewe ni moto kabisa 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 hiyo talaka naikubali kabisa

bienvenumaki
Автор

Salute ya soldier bwana Kicheche! Mchepuko Noma aisèèèeeee.

evarstemperejeko
Автор

Yani bongo na kicheche 😃😃😃 toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 sijuwi nimala ngapi naitezama ii, jameni like hapa.

dj-reissitolkira
Автор

Kicheche nakutambua sana from Kenya huku tunakupenda 💖💖💖

sheizykemamati
Автор

I like kicheche comedy...Nairobi Kenya support you guys

alvinmbugua
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nyie team kicheche mume jua kunichekesha kweli good job guys

Halimamaere
Автор

Yani mimi unaniwa naceko kweli wewe dombalaaa kabis karibu bas🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤

josianeezekiye
Автор

Hakika Leo unanikubalisha kicheche🤣🤣🤣🤣🔥🇨🇩❤️♥️♥️🤣

zebedemirambi
Автор

Daa Nimecheka kwa nguvu yaani jamaa nimemkubali ni kipaji kabisa halazimishi kila neno unacheka true comedian. Mbwa kicheche

Kabeya
Автор

Tunamtabua kabisaa....kicheche kikofia

joseemungai
Автор

Mchepuko kwa kweli..
Mimi napenda MCHEPUKO pia...🤣🤣🤣

alidullah